Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

😀 Umewaza mbali sana.
Huyo mtu wala hana njaa na hajatokea familia ya njaa..!!

Kazaliwa kazikuta ndinga zimepaki kwao.
Na yeye binafsi ni mtu ambaye kifedha yuko vizuri sana.

Nyongeza; Ndinga yangu ya kwanza yeye ndio alininunulia..!!

Nilimpenda sana ila mimi ni ile aina ya wanawake napenda kusimamia kile ninachokiamini. Nikisema HAPANA huwa sirudi nyuma sababu tayari nishafanya uchunguzi yakinifu ambao hauna mashaka..!!
Hahaha nilitaka ufunguke km hivi wala sikua nataka kingine ila umefunguka km kufunguka, haakuna asierudi nyuma hata kidogo jamaa hajaamua tu kukukazia aliona isiwe kesi akaacha uende ila angeamua ungerudi tu nyuma hata kwa kukushika bega haya geuka nyuma basi tuongee kwanza unaenda wapi sasa haya mboni yanazungumzika kabisa kwani wewe ulikua unatakaje ebu sema nikuelewe kwani haya si yanazungumzika kabisa au hayazungumziki?
 
😀 Weeh bhana unataka kuipata story nzima ilivyo huna lolote..!!

Mpaka leo bado ananitafuta nishabadili namba za simu nyingi ili kukaa naye mbali.
 
😀 Weeh bhana unataka kuipata story nzima ilivyo huna lolote..!!

Mpaka leo bado ananitafuta nishabadili namba za simu nyingi ili kukaa naye mbali.
Huyo atakua sio mimi basi mimi sijakutafuta leo kabisa na sijapata huo muda wa kukutafuta leo maana nilikua busy sana labda nikutafute baadae si ndio?
 
Nilitamani kufanya hivyo lakini nilishindwa sababu ilikuwa nje ya uwezo wangu..!!

Alnificha maisha yake halisi kwa kuogopa nisingeweza kumkubali na kitu ambacho hata yeye pia kilimtesa..!!

Inawezekana ikawa ndio tukio lenyewe, lakini ni tukio ambalo limetuumiza wote..!!
🍀
 
Back
Top Bottom