Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Ujawahi pigwa tukio mdada mzuri
Mkaka mzuri, hivi ukimjua mtu maisha yake halisi ambayo mwanzo alikuficha ukaamua kuachana naye ni kupigwa tukio?

Yaani hivi, niliwahi kuwa na mahusiano na mtu halafu baadaye nikagundua yale sio maisha yake halisi anaact. Nikaamua kuyavunja na kusonga mbele. Je, hilo ni tukio nimepigwa?
 
Kwamba unataka mbo** make ilivyofanya so poa hapo kila kona unasugua sema fresh😂😂 muhimu vaa pendeza, tomb**na kwa step la sivyo utalia vibaya sana.
 
Mkaka mzuri, hivi ukimjua mtu maisha yake halisi ambayo mwanzo alikuficha ukaamua kuachana naye ni kupigwa tukio?

Yaani hivi, niliwahi kuwa na mahusiano na mtu halafu baadaye nikagundua yale sio maisha yake halisi anaact. Nikaamua kuyavunja na kusonga mbele. Je, hilo ni tukio nimepigwa?
Kwanini ulimuacha? Utaacha wangapi?
Ulitakiwa kurekebisha palipoharibika na maisha yaendelee.
Hujawahi kuachwa?

Kwasababu hutujui alikuwa ana-act nini ila inaweza pia ni kupigwa tukio
 
Haukua sahihi wewe na wewe ulikua una act maana hayo maisha ya kuact ndio yaliyokufanya umpende ungekomaa nae mpaka muende sawa muda huu mngekua mshapigana mpaka matattoo sema tu haukumpenda ila mpaka unamuongelea maana yake bado anaishi ndani yako siku ukimuona anasukuma ndinga kali nyinyi ndio hua mnaanzaga kusumbua na kuharibu ndoa za watu wewe si ulikula kona sasa fujo za nini kwenye ndinga yangu unaparamia kioo unafuata nini na umenikuta nipo na mwenzio au unataka kuniharibia nianze kuulizwa maswali ya huyu ni nani? Huyu ni Labella ile manzi ilinionaga na act pale Kaole Sanaa Group leo imeona jinsi gani sanaa ya maigizo imenilipa na-push ndinga kali inataka tukae chini tuzungumze
 
1 . Mwambie mtoa mada time heals ajipe muda

2. Ajifunze kulet it go asikae na mizigo kwamoyo may be kuna fursa kibao zinamsubiri yee kang'ang'ana na limtu tu
3.Akitoka nje kuna MBA zakushatro( Married but available watamgonga tu mwisho wa siku anarudi kwa familia )
4. Au hayanaga mwongozo kavipi jitolee kumfariji
Married But Available (MBA) asante kwa taarifa
 
Kuna chaka nilienda kusotea kazi,,nikapata demu ana chumba chake akanisitiri sababu nilikuwa sina kitu,,,,, tukawa tunaishi kimtindo,,,siku ya siku kaja na jamaa nikabatizwa kwamba mie ni kaka,,,,,,,ikabidi nilale sebuleni....usiku nasikilizia akipelekewa motoh..,,,je? wewe ungeweza??
HAPO VP...
 
Kwanini ulimuacha? Utaacha wangapi?
Ulitakiwa kurekebisha palipoharibika na maisha yaendelee.
Hujawahi kuachwa?

Kwasababu hutujui alikuwa ana-act nini ila inaweza pia ni kupigwa tukio
Nilitamani kufanya hivyo lakini nilishindwa sababu ilikuwa nje ya uwezo wangu..!!

Alnificha maisha yake halisi kwa kuogopa nisingeweza kumkubali na kitu ambacho hata yeye pia kilimtesa..!!

Inawezekana ikawa ndio tukio lenyewe, lakini ni tukio ambalo limetuumiza wote..!!
 
Haukua sahihi wewe na wewe ulikua una act maana hayo maisha ya kuact ndio yaliyokufanya umpende ungekomaa nae mpaka muende sawa muda huu mngekua mshapigana mpaka matattoo sema tu haukumpenda ila mpaka unamuongelea maana yake bado anaishi ndani yako siku ukimuona anasukuma ndinga kali nyinyi ndio hua mnaanzaga kusumbua na kuharibu ndoa za watu wewe si ulikula kona sasa fujo za nini kwenye ndinga yangu unaparamia kioo unafuata nini na umenikuta nipo na mwenzio au unataka kuniharibia nianze kuulizwa maswali ya huyu ni nani? Huyu ni Labella ile manzi ilinionaga na act pale Kaole Sanaa Group leo imeona jinsi gani sanaa ya maigizo imenilipa na-push ndinga kali inataka tukae chini tuzungumze
😀 Umewaza mbali sana.
Huyo mtu wala hana njaa na hajatokea familia ya njaa..!!

Kazaliwa kazikuta ndinga zimepaki kwao.
Na yeye binafsi ni mtu ambaye kifedha yuko vizuri sana.

Nyongeza; Ndinga yangu ya kwanza yeye ndio alininunulia..!!

Nilimpenda sana ila mimi ni ile aina ya wanawake napenda kusimamia kile ninachokiamini. Nikisema HAPANA huwa sirudi nyuma sababu tayari nishafanya uchunguzi yakinifu ambao hauna mashaka..!!
 
Back
Top Bottom