Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Poleni sana kwa kuumizwa, kumbe mapenzi Ndo mabaya hvy mpaka wengine wanauana kisa vikojoleo wasivyovimiliki 😭

Anyway, nikipata mwanamke wa kunifanyia unboxing ya uboo wangu, nitaleta mrejesho wangu 😎
 
nalia kwaajili ya ShesRise_1
Chukua foto yake ikuliwaze
b9ba467f-f09f-4966-87bf-8e111917a9e6.jpeg
 
Pole sana kwa maumivu, lakini amini Mungu kwamba maumivu ni kitu cha muda na yatapita, ila usikubali maumivu yakotoe kwenye mstari na kuharibu mipango yako aloooo...🤔
 
Back
Top Bottom