Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Hahaha nilitaka ufunguke km hivi wala sikua nataka kingine ila umefunguka km kufunguka, haakuna asierudi nyuma hata kidogo jamaa hajaamua tu kukukazia aliona isiwe kesi akaacha uende ila angeamua ungerudi tu nyuma hata kwa kukushika bega haya geuka nyuma basi tuongee kwanza unaenda wapi sasa haya mboni yanazungumzika kabisa kwani wewe ulikua unatakaje ebu sema nikuelewe kwani haya si yanazungumzika kabisa au hayazungumziki?
 
πŸ˜€ Weeh bhana unataka kuipata story nzima ilivyo huna lolote..!!

Mpaka leo bado ananitafuta nishabadili namba za simu nyingi ili kukaa naye mbali.
 
πŸ˜€ Weeh bhana unataka kuipata story nzima ilivyo huna lolote..!!

Mpaka leo bado ananitafuta nishabadili namba za simu nyingi ili kukaa naye mbali.
Huyo atakua sio mimi basi mimi sijakutafuta leo kabisa na sijapata huo muda wa kukutafuta leo maana nilikua busy sana labda nikutafute baadae si ndio?
 
πŸ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…