Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good morning Billionea[emoji1]
Aisee Qnet sio watu kabisa
Mwambie tu ukweli atakuelewa ishamtokea jamaa yangu. alipewa mtaji wa milion 32 naye akaongeza miioni 8 iliwafanye biasha ya kununua na kusaga mawe ya dhahabu. Mara ya kwanza ikaenda poa, mara ya pili akampa mtu akampiga akabaki na milioni 8 tu. Akawa anaogopa kumwambia bro wake ukweli akawa anamdanganya sana kila mara. Ila uongo una mwisho ilifika muda akawa na stress sana. Mimi nikamshauri mwambie ukweli jamaa anaogopa sana. Akawa anataka kwenda kwa mganga eti ampe dawa akimwambia bro asimaindi. Mimi nikamwambia usiende kwa mganga ngoja mimi nikupe dawa mimi kijukuu cha Mshana. Nikampa kimti tu halafu nikamwambia mpigie umwambie. Jamaa akapata confidence bwana, akampigia akamwambia ukweli. Bro wake ajabu hakumaindi ila akasema kwanini hakumwambia muda wote angekuwa ashaongeza pesa waendelee na uzalishaji.Mpaka naandika hapa sijawahi pokea hata shilingi kumi jamaa hatujamuona baada ya danadana kibao juzi hapa tunasikia kakamatwa sijui hata nianzie wapi.
Brother nae kila muda anataka nimtumie picha za mazao juzi nilisikia anaongea na mother kwenye simu kuwa anaumwa hawezi kuja kula Christmas jana usiku akapiga tena kuwa kapata nafuu ameshakata tiketi ya kuja asee nilivyosikia nimechanganyikiwa.
Leo asubuhi nimetoka njee nikakuta mbwa wanafanya mapenzi wamenasiana asee hasira zangu zote nimemaliza kwao nimewatandika bakora za kiwango cha stieglas gorge
hadi raia wakaingila kati, toka asubuh sijarudi nyumbani napiga hesabu sijui nitamwambieje brother
yatapita tu some tyme huwa hivyo hasa watu wenye malengo makubwa na teyar umri umesogea ni rahisi kutumbukia kwenye makorongo/trap km hayo..Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.
Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia.
Maisha dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa nilipo,.. Niliwahi bahatisha kazi kwenye berau de change dar lakini 2018 December tulivamiwa ofisini na askari wakatukamata japo baadae tuliachiwa lakini kibarua kikaota majani .
Baada ya hapo nilitafuta kazi bila mafanikio nikashindwa lipa pango ikabidi niendee kukaa kwa sista aka kwa shemeji nimekaa pale sana bila mishe yoyote kama miezi 6, kumbe shemeji, alikuwa anachukia ikabidi wanitengenezee zengwe pamoja na sista.
Siku hiyo asubuhi mimi sina hili wala lile nasikia ugonvi kati ya sista na shemeji, baadae sista akakasirika sana akachukua mabegi akaondoka. Mimi nikabaki najiuliza nimfate sista au niendele kukaa kwa shemeji? Nikasema wee mjinga usinitanie hapa siondoki,
baada ya siku mbili sista kaniambia ameshafika nyumbani, shemeji nae siku hiyohiyo akaniambia kesho inabidi uondoke ninasafari ya kikazi nashukuru alinipatia kiasi kidogo nikachukua vyangu nikasepa kurudi kwa mama maana nilikuwa sina jinsi
Nimerudi home haikupita hata wiki mbili sista huyo akarudi kwa mumewe, nilimuuliza sista kama naweza rudi akasema nitulie kwanza.... hali iwe shwali.
Bahati nzuri mwaka huu brother kapata dili kwenye kampuni kubwa hapo dar es salaam, ikabidi nitumie fursa ya kilimo kupata mtaji kutoka kwake kwa makubaliano kuwa tutakacho pata faida nusu kwa nusu mtaji wake ubaki pale pale
Mpaka sasa ameshanitumia kama millioni 4.5 pia alinunua pikipiki kutoka kwa rafiki yale alikuwa kafulia akanikabidhi kuwa niwe nafanyia patrol kwenye shughuli za shamba.
Nifupishe tu pesa yote kuna jamaa alikuja akatushauri kwenye kikundi kuwa tukiwekeza kwenye kampuni yao kiasi cha 4.5m tutakuwa tunapata dola kati ya 100 na 200 kila mwezi, akatuonesha document yeye anavyolipwa nikaona hii ndio shortcut. Pia katuambia mtaji kwa mtu mmoja mmoja ni 5m hiyo 4.5m ni mkiwa kikundi kuanzia watu 4
Mpaka naandika hapa sijawahi pokea hata shilingi kumi jamaa hatujamuona baada ya danadana kibao juzi hapa tunasikia kakamatwa sijui hata nianzie wapi.
Brother nae kila muda anataka nimtumie picha za mazao juzi nilisikia anaongea na mother kwenye simu kuwa anaumwa hawezi kuja kula Christmas jana usiku akapiga tena kuwa kapata nafuu ameshakata tiketi ya kuja asee nilivyosikia nimechanganyikiwa.
Leo asubuhi nimetoka njee nikakuta mbwa wanafanya mapenzi wamenasiana asee hasira zangu zote nimemaliza kwao nimewatandika bakora za kiwango cha stieglas gorge
hadi raia wakaingila kati, toka asubuh sijarudi nyumbani napiga hesabu sijui nitamwambieje brother
😂 😂 😂 😂unakaa na mama karibu hapo pembeni
Mhanga wa QnetAsee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.

Qnet [emoji38][emoji851]Good morning Billionea[emoji1]
Aisee Qnet sio watu kabisa
Kha!kha!kha!, naona umeshachungulia profile ya mtoa uzi.Asanteni Mods kwa kuweka Joining Date kwenye profile.
Pandisha mashetani mwanzo mwisho, ongea kimasai,kichina na kihindi huku ukicheka na kulia kwa wakati mmoja