Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

Am not feeling well guys, leo nimetembea kilometres nyingi kutafuta mashamba ya mbali ambayo yanaendana na mazao tuliokubaliana tulime, kesho ndio naenda kumuonesha maana monday anageuza.

Your prayers mwenye shamba asijekutukuta jamani
 
Unaleta chai sasa wewe..
 
Am not feeling well guys, leo nimetembea kilometres nyingi kutafuta mashamba ya mbali ambayo yanaendana na mazao tuliokubaliana tulime, kesho ndio naenda kumuonesha maana monday anageuza.

Your prayers mwenye shamba asijekutukuta jamani
Hahahaha
 
Hizi digital marketing zimepiga wengi
 
Huyu uliyemwelezea hapa angalau ana akili na mwanzo alikuwa na 8m kuashiria ni mpambanaji. Mtoa mada ni bonge la popoma... soma vizuri utaona ana changamoto ya uaminifu na uvivu. Kafukuzwa kazi pi kafukuzwa na shemeji. Mi naona aondoke kwanza kupisha hali ya hewa itulie
 
Am not feeling well guys, leo nimetembea kilometres nyingi kutafuta mashamba ya mbali ambayo yanaendana na mazao tuliokubaliana tulime, kesho ndio naenda kumuonesha maana monday anageuza.

Your prayers mwenye shamba asijekutukuta jamani
Uongo uanza pole pole mwisho upelekea makubwa. Kuna watu wameua ili kuficha uongo, niliwahi kuandika kisa cha kijana aliyedanganya kwao kuwa anasoma chuo ikafia muda wa kugraduate, akajua sasa atakamatika ikabidi aandae mauaji ya familia yake yani baba, mama na mdogo wake
 
Hizi ndo degree za sasa
 
Kwani chuo lazima ufanye graduation? Mbna wengi tyuuuh hawafanyi.
Huyo nae alikosa plan kabisa.
 
kugraduate siyo kufanya mahafali bali kuhitimu... Na ni lazima tu familia yake ingejua kuwa alikuwa anaongopa, na alivyo na roho ya kishetani akaamua awaue, by the way ni Marekani sidhani kama TZ mtu anaweza fanya hivi.
 
Sasa chuo c unahitimu tyuuuh, then maisha yanaendelea, labda aliogopa kweny kuonesha cheti cha degree.
 
Yah mambo ua cheti lazima angeumbuka na baba yake alikuwa mtu mwenye pesa yake wakati anasoma chuo akamnunulia nyumba karibu na chuo tena baharini kabisa mtoto asipate tabu kumbe jamaa hata halisomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…