Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Ukiangalia pesa za kwenye huu Uchaguzi hazijulikani zinatoka wapi mkizubaa Tanzania tunaweza kuja kuogozwa na wauza madawa ya kulevya tunaotaji mihimili huru sio mtu mmoja anameza mihimili yote
 
Yule mzee kumuelewa uwa ni Ngumu sana
Nakuunga mkono, isipokuwa kwa point 19 & 21. Jeshi la Polisi lisifutwe isopokuwa lifanyiwe marekebisho kimfumo na kikatiba/ kisheria.
Ofisi ya waziri mkuu isifutwe, ifutwe ofisi ya makamu wa rais
Utakosa Ugali lifutwe halina kazi na Ofisi ya waziri mkuu ifutwe tu
 
Huyo Mzee ndio alioleta unafuu was maisha kwetu na wengi wetu tulivyo leo kiuchumi,kielimu ni kutokana na Ile kauli mbiu "maisha Bora kwa kila mtz" na mchango wake unajulikana!
Mkuu RESILIENT KATO huo ni upande mmoja wa sarafu, vipi upande wa pili wa shilingi ukoje?
Ktk tawala zilizomtangulia na wa kwake ni utawala upi uliongoza kwa skendo kubwa kubwa za ufisadi wa kutisha?
 
Na tujiandae na nusu mlingoti wa no 4 , anytime....

Na Wengi wanaofanya maandalizi na mipango ya kuhakikisha wanabaki kwenye viti hawatafika

Wataona ila hawatakula..,
Mkuu huoni juzi nikiwa na namba 6 kwenye uzinduzi wa ....... nilivyokuwa na afya tele, full tabasamu halafu unasema kujiandaa na nusu mlingoti,
Je nimenasa doano bila mimi kujua?
Tabibu wangu kila siku hunifanyia check up.
 
Mkuu huoni juzi nikiwa na namba 6 kwenye uzinduzi wa ....... nilivyokuwa na afya tele, full tabasamu halafu unasema kujiandaa na nusu mlingoti,
Je nimenasa doano bila mimi kujua?
Tabibu wangu kila siku hunifanyia check up.
Kwani ht walioondoka hawakua na afya?
Yesu alipomwambia yule aliyejilimbikizia Mali aliposema SS atastsrehe, kwamba Leo usiku naitaka roho Yako hakuwa na afya mkuu?

Sina Ile link ningekuweiea hapa😅ngoja niitafute
 
Naunga mkono hoja.Hii ndo Tanzania ninayoitaka.
 
Orodha kama hii uliitoa kipindi kile ila hakuna Cha maana kimefanyika.

So hizi ni porojo kama porojo zingine

Tanzania ni Nchi ya kijamaa sio tawi la Beberu.
 
Mkuu RESILIENT KATO huo ni upande mmoja wa sarafu, vipi upande wa pili wa shilingi ukoje?
Ktk tawala zilizomtangulia na wa kwake ni utawala upi uliongoza kwa skendo kubwa kubwa za ufisadi wa kutisha?
Wana kawaida yao!ukishafanikisha mission fulani na hawataki uendelee kuwepo kwa ustawi wa kampuni wanakusafirisha kwenda kwa mwenyezi!!

Zipo tetesi kwamba wale waliokamilisha mission ya Kijana msema sana baada ya kummiminia ma bullet na wao waliondolewa kuficha ushahidi wao kwamba walihusika ndio maana Hadi Leo kesi hamna coz washtakiwa are no more!!

Kama Kuna umuhimu wa kufanya hivyo watafanya lakini kama umuhimu haupo ataendelea kudunda!!

Lakini

Bado uhai was mja una mwenyezimungu pekee sio mahasimu wake mja!

Labda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…