Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Andiko bora, ila vipengele vingine ,kama ikatokea ilivyo, utaanza kuwakuta watu wanatembea na kutukana
 
Uzi mzuri na upo na maono mazuri kwa Taifa, ila ili tufike tupatakapo , inatakiwa kwa sasa kwanza ccm ipumzishwe , isitoe kiongozi wa juu, na mbele ya safari inaweza kurejeshwa na wananchi kama chama kikijipanga ,

Ila kwa ccm hii , ni ngumu, Kama tunakubaliana ,basi bora kuanza upya aisee, kwa mtu mpya kutoka nje ya ccm
 
Ilishindikana kwasababu mkunja ngumi na genge lake la njaa 55 bado waliokuwa kazini. Huu moto wa sasa tunaushuhudia baada ya kuingia hawa jamaa wanaosimamia ukweli na haki.
 
Uchambuzi wangu wa Baadhi ya Mapendekezo Makuu:
1. Ufutaji wa Ukingo wa Kutoshtakiwa kwa Viongozi:
- Hili ni jambo muhimu la kukabiliana na uhafidhina na ufisadi. Lakini linahitaji mfumo wa haki wenye nguvu na uhuru wa kufanya kazi bila maelekezo ya kisiasa.

2. Kupunguzwa kwa Mafao ya Viongozi Wastaafu:
- Ni jambo la maana kwa kuokoa fedha za umma, lakini linaweza kukumbana na upinzani kutoka kwa viongozi wa sasa na wa zamani.

3. Mabadiliko ya Uongozi wa Halmashauri na Kuondoa Wakuu wa Mikoa/Wilaya:
- Hii inaweza kuleta ufanisi zaidi, lakini inahitaji mfumo mbadala wa usimamizi wa mikoa na wilaya.

4. Kufutwa kwa Jeshi la Polisi na Kuundwa Kikosi Kipya cha Usalama wa Raia:
- Hili ni jambo kubwa sana na linaweza kusababisha mvutano mkubwa. Polisi wengi wanaweza kupinga, na inahitaji mfumo mpya wa kujenga utii wa raia.

5. Kuweka Viwango vya Elimu kwa Wabunge na Madiwani:
- Ni wazo zuri, lakini linaweza kuzuia baadhi ya wananchi wenye uwezo wa kuwakilisha lakini hawana stashahada.

6. Kupunguzwa kwa Posho na Kuboreshwa Mishahara:
- Ni muhimu kwa kupunguza matumizi mabaya ya fedha za umma, lakini inahitaji mfumo mzuri wa uangalizi.

7. Kuweka Udhibiti wa Matumizi ya Kampeni za Uchaguzi:
- Hili litasaidia kupunguza ufisadi na usawa wa kisiasa, lakini linahitaji tume huru yenye nguvu.

8. Kujenga Viwanda vya Gesi na Kuzuia Uuzwaji wa Mazao Ghafi:
- Ni muhimu kwa ajili ya kuongeza thamani ya bidhaa za Tanzania, lakini yanaweza kukumbana na migogoro ya maslahi ya wafanyabiashara wakubwa.
 
Soma Uzi kwa umakini sana..yakifanyika yote hayo..ni dhahiri watapatikana wenye uwezo na elimu..points/vipengele vyote vinaingiliana na kusupportiana (mfumo/system)...tumia akili/think systematically.
I know this handwriting 'brother'!!!

Uzi umejitosheleza,nakwambia hakuna chawa Wala mayai yatatagwa hapo kama Brother akitekeleza andiko hili!!
 
Vip mwenyekiti aking'ang'ania kuendelea kushika kijiti. Tunaona leo ilani mpya inanadiwa
nadhani,labda "safe process"na ilishafanyika kabla ya hiyo leo,Jamaa Huwa Wana calculated movement kwenye haya!!
Nafikiri nadhani de'levis anajua safe process maana yake!!

"Tagert ambae hajui kama anafuatiliwa na anakua kwenye daily routine kama Kawa"

Najaribu kufikiri mkuu!!!
 
Is the the man behind bars part of the mission? Is He aware?
 
Mkuu, enlighten me a bit here
1. Is the state inside or outside the boundaries
2. Those responsibilities of Brother, are they supposed to be fulfilled before october or after He has sat in that chair
3. If it is before october, and the election is free and fair in its true meaning ,dont you think the wind is blowing the other side? Is the state ready to give the chair to the other side.
4. If it is after october, I guess it will give him enough time to win back the trust of the citizens.
5. All in all, the country needs changes and it needs it now.
Nawasilisha mkuu
 
Mbona hatuoni dalili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…