Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Nionavyo mimi ikitokea Rais ameshindwa kuendelea na majukumu yake kwa kifo au kujiuzulu, basi pawe na Rais wa mpito miezi mitatu kisha Tume huru ya uchanguzi ifanye uchanguzi wa kumpata Rais.
Hii ya wabunge wachangue wao hapana.
Kutakua na wabunge 185 TU wenye masters degree nchini,hiyo ni cream tosha kabisa!halafu Bungee ndio linaenda kuwa mwamuzi wa nchi halisi sio rais!!
 
Ushauri wangu kwenu State nionavyo mimi upande wenu, ni vizuri kuwe na vyama viwili ambavyo mmevitengeneza ninyi, viwe vinaongoza kwa kupokezana kwa ushindani.
 
27. Serikali ipime ardhi yote ya nchi na kuhakikisha hati zinatolewa. Aidha kuwepo na standard za ukubwa wa ardhi unaotolewa inayoruhusiwa kupata hati
Ushauri wangu, ikiwa kwenye shamba la Raia limeonekana kuwa na Madini, mafuta nk nk kama mwekezaji eneo analitaka akubaliane na Rais mmiliki wa eneo huku serikali ikiwa msimamizi na mshauri kwa raia wake ili asipunjwe serikali itapata kupitia kodi
 
Mkuu..shamba lako Lina madini..!?
 
Mtu akinifungulia code ya "brother" nitashukuru sana
 
hii tunahitaji sana tumekuwa na watu ambao ni machawa mana wanajiona hawana qualification njia pekee ya kusimama ni praise and worship waje wapya wenye akili/misimamo/hoja/vision/ mungu awa bless bana the state haya yatimie.
Tatizo sio qualifications ndugu, tatizo ni uwezo.
Wengi wetu tuna mpaka Ph. D lakoni uwezo ni sifuri.
Vyeti vya kununua tunavyo vingi sana, kuanzia CSEE mpaka Ph. D.
 
Kama viongozi wa G55 ni yule Kigaila, Mrema, Devotha Minja na Saumu Mwalimu ambao kiuhalisia walikuwa wanabeba na Chadema kwa mgongo wa Mbowe labda wabebe viti vya kitchen party.
 
Tatizo sio qualifications ndugu, tatizo ni uwezo.
Wengi wetu tuna mpaka Ph. D lakoni uwezo ni sifuri.
Vyeti vya kununua tunavyo vingi sana, kuanzia CSEE mpaka Ph. D.
Soma Uzi kwa umakini sana..yakifanyika yote hayo..ni dhahiri watapatikana wenye uwezo na elimu..points/vipengele vyote vinaingiliana na kusupportiana (mfumo/system)...tumia akili/think systematically.
 
Screening process ya kuwapata ndiyo mtihani!
 
Ushauri wangu kwenu State nionavyo mimi upande wenu, ni vizuri kuwe na vyama viwili ambavyo mmevitengeneza ninyi, viwe vinaongoza kwa kupokezana kwa ushindani.
State ya mavi ambayo kazi yao ni kuua na kuteka?
Majitu yameshindwa kuingia better deal za madini Kuna kitu wataweza?
 
I think critically.
The complexity of our country's problems is primarily systemic. We need to adopt a holistic approach to truly understand this complexity, taking into account the interconnectedness of various elements within the system. A critical analysis should follow, focusing on the different elements or sub-elements that are intricately linked and form part of a functioning whole.
I believe your critical analysis focuses too narrowly on a single element, without acknowledging that other interconnected elements may invalidate or challenge your argument.
 
Welldone, you have just thinked critically.
 
Kufanya haya yote Tanzania ni jeshi tu litaloweza kufanya hayo. Kufanya haya mambo halafu kuachia ngazi. Au serikali ya mpito ikiongozwa na mtu kama Warioba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…