TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

Commander In Chief

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2019
Posts
315
Reaction score
719
Inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kifo chake. Ametutoka mapema leo 07/12/2020 katika hospitali ya Mount Meru Arusha. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakujia hivi karibuni.

Nafahamu kuna wana MJSS wengi sana hapa Jukwaani walio ndani na nje ya nchi. Karibuni tumuenzi mkuu wetu mpendwa kwa maneno ya faraja.

MAY HIS SOUL REST IN ETERNAL LIFE.
255713616127_status_017ea13feec146dcac7904a47a929518.jpg


AMEN!​
 
Comment zote za kistaarabu.
Kweli teaching is a noble profession. Ingekua polisi au yule asiyependwa na wengi ingekua sio msiba bali kibali cha beer, kitimoto yaani Xmas ingeshaanza.
Tujifunze kutenda mema. Haina maana kuwaumiza watu kisa tu una madaraka. Dunia yenyewe tunapita tu.
 
Aliyekua mkuu wa shule MAJENGO Secondary na Mkurugenzi wa shule ya KIBO Secondary BROTHER PETER LYIMO amefarikiI! ....!

Yakobo 4:14 “walakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha hutoweka”.

Lala salama brother🙏

IMG-20201207-WA0016.jpg
IMG-20201207-WA0017.jpg

 
Back
Top Bottom