Commander In Chief
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 315
- 719
Hapana. Naambiwa ni heart attack.Ajali au nini? R. I. P
Kama hujasoma MJSS huwezi mfahamu.Hata cjumujui kabisa
Kabisa mkuu. Watu wengi sana wamepitia mikononi mwake wengi saaana Ikiwemo Jamal Sambeke rubani TPDFHawa ndio watu walioinua hili taifa.
RIP mwalimu
Hakua mpigajiKabisa mkuu. Watu wengi sana wamepitia mikononi mwake wengi saaana Ikiwemo Jamal Sambeke rubani TPDF
Ndio mmeamua kuifuta comment yangu kabisa??
Ahsante sana.Nilikuwa nakutania, naona wamebadilisha.
Pole na msiba BTW.
Hivi huwa kuna tofauti gani kati ya heart attack na cardiac arrest?Hapana. Naambiwa ni heart attack.