Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti.
Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store
Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona yangu.....kweny mambo yetu yale

Bas Leo nikaona wacha na mm nijaribu Huwenda ina mzuka Kumbe hkn kitu nimepiga mbili haina ladha ya maana kbsa naona ni shobo tu za wa dad wa kibongo kupromote vinjwa vya kipumbavu na kuacha brand kubwa kama kilimanyaro lager, lite, serengeti nk
 
28,000 nimekunywa Bia 14 za Safari kubwa kwa Shayo Uwanja wa Ndege Singida
 
Unaambiwa ukitaka kuwa mijnga we endekeza tu mademu wa kibongo. Vitu vya kijinga kwa wengine kwao ni ujiko.
 
Desperado ni namba moja kwangu πŸ˜‚
Japo sijaonja hiyo bruto
 
Na wewe ukaamua kuwa hao wadada ukaanza kunywa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…