Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

Hapo ni kwa elfu 4 in jamaa alikandwa 4500 maana yake mara 7 ni 31500.... Unapata beers, kitimoto chumba na demu asiye na gono Wala UTI.
Nimesikitika sana mkuu hapa Singida hiyo bei unapata vyote uiivyotaja
 
Hapo ni kwa elfu 4 in jamaa alikandwa 4500 maana yake mara 7 ni 31500.... Unapata beers, kitimoto chumba na demu asiye na gono Wala UTI.
Huyu demu utakuwa umenywesha maji au katk hyo bajet hatumia chovhote
 
Hapo ni kwa elfu 4 in jamaa alikandwa 4500 maana yake mara 7 ni 31500.... Unapata beers, kitimoto chumba na demu asiye na gono Wala UTI.
Bia nne = 8000
Kitimoto nusu na ndiz elf7000
Maji 1000 lodg 15000
Hapo ujamlipa demu 20000
Ujamnunulia demu bia savanna 5 20000

Sas hyo 31500 upate geto, demu, bia kivip man
 
Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti.
Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store
Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona yangu.....kweny mambo yetu yale

Bas Leo nikaona wacha na mm nijaribu Huwenda ina mzuka Kumbe hkn kitu nimepiga mbili haina ladha ya maana kbsa naona ni shobo tu za wa dad wa kibongo kupromote vinjwa vya kipumbavu na kuacha brand kubwa kama kilimanyaro lager, lite, serengeti nk
Peer pressure
 
Back
Top Bottom