Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Bro mi Sina pigo za kiwaki, halafu nyumba za nini akati duniani tuna pita.Bro mnakuaga wambea sana nyie......
Afu mnajikuta mmeyapatia maisha, ukiona nakunywa zangu beer unaanza tofali 1, tofali 2, tofali 3 yani mwisho unaona nimekunywa ukuta.
Kwanin??Si unywe azam embe tujue moja 😁
Desperado ni juice iliyochangamkaKwanin??
Weee ni kalii ukinywa nyingiDesperado ni juice iliyochangamka
Dah kwahiyo ukinywa unalewa? Kuanzia ngapi....Weee ni kalii ukinywa nyingi
Ni mnunuaji baada ya kuonja kinywaji kipya?
Nimesikitika sana mkuu hapa Singida hiyo bei unapata vyote uiivyotajaHapo ni kwa elfu 4 in jamaa alikandwa 4500 maana yake mara 7 ni 31500.... Unapata beers, kitimoto chumba na demu asiye na gono Wala UTI.
Bia kumi na nne zote unajaza tumboni28,000 nimekunywa Bia 14 za Safari kubwa kwa Shayo Uwanja wa Ndege Singida
Huyu demu utakuwa umenywesha maji au katk hyo bajet hatumia chovhoteHapo ni kwa elfu 4 in jamaa alikandwa 4500 maana yake mara 7 ni 31500.... Unapata beers, kitimoto chumba na demu asiye na gono Wala UTI.
Bia nne = 8000Hapo ni kwa elfu 4 in jamaa alikandwa 4500 maana yake mara 7 ni 31500.... Unapata beers, kitimoto chumba na demu asiye na gono Wala UTI.
Singida ipi hata iweje Elf 31500 hazitoshi kula wee a na demu labda kusema demu hatumia pombeNimesikitika sana mkuu hapa Singida hiyo bei unapata vyote uiivyotaja
Hujatuambia kama nyumbani ni jirani na kwa Shayo ama ni mbali?28,000 nimekunywa Bia 14 za Safari kubwa kwa Shayo Uwanja wa Ndege Singida
Peer pressureNi kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti.
Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store
Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona yangu.....kweny mambo yetu yale
Bas Leo nikaona wacha na mm nijaribu Huwenda ina mzuka Kumbe hkn kitu nimepiga mbili haina ladha ya maana kbsa naona ni shobo tu za wa dad wa kibongo kupromote vinjwa vya kipumbavu na kuacha brand kubwa kama kilimanyaro lager, lite, serengeti nk