Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
Yanga mnasikia? Manara anasema mpo tayari kushushwa madaraja kwa ajili ya kumtetea yeye. Ni kweli hayooo, mpo tayariii?Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.
Huyu pimbi kajiingiza anga za Msoga ngoja apelekwe kwa mpalange Nasema Uongo Ndugu Zangu?karia akimaliza muda wake atambue jela inamsubiri, mafaili yake yashaandaliwa na kukamilika.
Wee tutolee ngonjera zako hapa. Khaaaaah.karia akimaliza muda wake atambue jela inamsubiri, mafaili yake yashaandaliwa na kukamilika.
Bebi jamaniiiii🥰Wee tutolee ngonjera zako hapa. Khaaaaah.
Mtu mzima unamtishia nyau?karia akimaliza muda wake atambue jela inamsubiri, mafaili yake yashaandaliwa na kukamilika.
Safi sana lakini isiwe maneno matupu kama Mchina kwa Polesi.Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.
Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa.
MY TAKE;
Karia usipo angalia utateguliwa kiuno.
Matatizo binafsi ya Manara, Yanga imekubali kuingia kwenye mgogoro na TFF. Hiki ndicho manara alikuwa anakitaka.Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.
Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa.
MY TAKE;
Karia usipo angalia utateguliwa kiuno.
Iv haya maneno ameyasema kweli ?Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.
Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa.
MY TAKE;
Karia usipo angalia utateguliwa kiuno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bebi jamaniiiii[emoji3059]
mwaka jana simba walitoa statement ya kumkana kauli yake kwamba mashabiki wa yanga wasiingie mechi za kimataifa za simba, aliongea kuhusu hali hiyo akisononeka sana sasa kapata taasisi ambayo kakutana na mapwaguzi wenzake basi ni raha tuMatatizo binafsi ya Manara, Yanga imekubali kuingia kwenye mgogoro na TFF. Hiki ndicho manara alikuwa anakitaka.
Manara kuwaingiza mkenge Yanga. Kesi yake binafsi imeifanya kuwa ya klabuTupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.
Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa.
MY TAKE;
Karia usipo angalia utateguliwa kiuno.