lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
MANARA MUST GO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MANARA MUST GO
MANARA MUST GOJamaa bado anawawekea Kibesi Wenye Mamlaka kimakusudi au kwa kupenda sifa za kijinga.
Haji hajawahi kuwa shabiki wa Yanga.
Huyu ni mamluki ambae hata Yanga ikishushwa Daraja yeye hana cha kupoteza.
MANARA MUST GOHuwa anaropoka hivi akipigwa rungu kimya, sijui ana tatizo gani la akili.
MANARA MUST GOAfinywe tena
MANARA MUST GONina uhakika kuna mtu au watu nyuma ya Manara,hakukurupuka jana,kufanya vile.
MANARA MUST GOWataalamu walishasema unapokuwa na ulemavu wowote hata wa kidole lazima na akili ilegee kidogo
MANARA MUST GOeti Bugati,bugati wapi mwehu huyu pelekeni mirembe
MANARA MUST GOIla manara anajua kuwavuruga utopolo.
Anajua madhara ya timu kushushwa daraja au ndo kwa kuwa HANA CHA KUPOTEZA?
Mimi nilidhani injinia anaweza akawa na akili kidogo pale yanga ukiacha mzee manara na kikwete kumbe na yeye NI BOGAZ
SEMA ndicho yanga WALIOKUWA wakikitakaMatatizo binafsi ya Manara, Yanga imekubali kuingia kwenye mgogoro na TFF. Hiki ndicho manara alikuwa anakitaka.
Sawa mfuasi wa manara.SEMA ndicho yanga WALIOKUWA wakikitaka
Yanga mara ngapi iliingia mgogoro na tifuatifua wewe mpaka waziri bashungwa akaingilia kati?
Makamu wa mwenyekiti hujui ilikuwaje mpaka Yanga kugomea mechi [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Karia anajitekenya na kucheka yanayokuja asipotulia hiiiiiii
Usidhani Kwa Nini wazee wakapisha vijana uongozi wa juu wa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinachofuta
Utajua hujui
Acheni vitisho tucheze mpira .Haya wanayoyafanya Yanga hayana afya kwa soka letu.SEMA ndicho yanga WALIOKUWA wakikitaka
Yanga mara ngapi iliingia mgogoro na tifuatifua wewe mpaka waziri bashungwa akaingilia kati?
Makamu wa mwenyekiti hujui ilikuwaje mpaka Yanga kugomea mechi [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Karia anajitekenya na kucheka yanayokuja asipotulia hiiiiiii
Usidhani Kwa Nini wazee wakapisha vijana uongozi wa juu wa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinachofuta
Utajua hujui
Uishushe yanga daraja hujipendiIla manara anajua kuwavuruga utopolo.
Anajua madhara ya timu kushushwa daraja au ndo kwa kuwa HANA CHA KUPOTEZA?
Mimi nilidhani injinia anaweza akawa na akili kidogo pale yanga ukiacha mzee manara na kikwete kumbe na yeye NI BOGAZ
Unajua pia kwenda mahamakani kama mwanachama Fifa unawexa kufungiwa na Fifa maxima,,,, nyie jidanganyeni tu,,, Wenye akili yanga wawili tu Mzee Kikwete na mzeee ManalaUkiisimamisha yanga hakika tunafungiwa na FIFA Maana YANGA ataenda mahakamani
Ndo mtajua hamjui
Kwaiyo wewe ndo unajua kuliko yeye au siyo??Huyu mzungu pori ataaribu mpira wetu, mlio karibu nae muelekezeni aache kujiamini sana. Rais wa Yanga aache wahuni hasa machawa wamuongoze, Ngoma ikivuma sana inapasuka
Kwanini mpaka amalize muda wake kwani hamuwezi kumshtaki akiwa rais wa Tffkaria akimaliza muda wake atambue jela inamsubiri, mafaili yake yashaandaliwa na kukamilika.
Kwanza unapaswa uyakomboe maisha yako alafu ndo uje kumpangia Rais nini cha kufanya mzee wanguHuyu mzungu pori ataaribu mpira wetu, mlio karibu nae muelekezeni aache kujiamini sana. Rais wa Yanga aache wahuni hasa machawa wamuongoze, Ngoma ikivuma sana inapasuka