Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

SEMA ndicho yanga WALIOKUWA wakikitaka

Yanga mara ngapi iliingia mgogoro na tifuatifua wewe mpaka waziri bashungwa akaingilia kati?

Makamu wa mwenyekiti hujui ilikuwaje mpaka Yanga kugomea mechi [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Karia anajitekenya na kucheka yanayokuja asipotulia hiiiiiii

Usidhani Kwa Nini wazee wakapisha vijana uongozi wa juu wa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinachofuta

Utajua hujui
Mnavyodanganyana huko kwenye magroup ya YANGA WHATSAPP MAKAO MAKUU?
 
Safi sana manara. Kazi tuliyokupa ya kuivuruga utopolo unaifanya vizuri. Na wao wasivyokuwa na akili wanakushadadia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha mnoo, anawavuruga nyie wenyewe plus yeye, ushaona simba inashaukwa naye?? Kwanza wamempuuza.

Lol
 
Mkumbusheni manara hata makonda na ali hapi walikuwa wajeuri na wenye majivuni kama yeye ila sasa hivi wapo juu ya vigogo.
Tena ashikilie haswaaa hili andiko lako.
 
Kiongozi bora anapimwaje,zaidi ya kuitoa taasisi mahali fulani kuipeleka higher level. Haters mnachekesha sana. tumpimeje Mo na Barbara zaidi ya kuilinganisha Simba ya 2016 na sasa?
Tumia kigezo cha performance appraisal badala ya kuisikiliza roho mbaya yako
Ooooh sawa ngoja ni endelea kuisikiliza roho mbaya yangu
 
Pamoja na madhaifu ya Manada ila Karia awe makini mambo sio marahisi kama anavyodhani.

Najua kuna ushabiki nyuma ya maamuzi ya TFF, Karia kuwa makini una familia pia
Ni ngumu sana watu kuliona hili ila ushabiki wa kibwegebwege ili kukomoana tu anyway let wait to enyoy the show
 
Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.

Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa.

MY TAKE;
Karia usipo angalia utateguliwa kiuno.
hili lialibino halina akili amepelekwa yeye na huyo mpuuzi hersi kwenye kamati ya maadili na sio utopolo.
 
Matatizo binafsi ya Manara, Yanga imekubali kuingia kwenye mgogoro na TFF. Hiki ndicho manara alikuwa anakitaka.
Hata kabla ya ujio wa Manara, Yanga ilikuwa na mgogoro na TFF. Kumbuka mwaka Jana hadi Waziri wa michezo(Basungwa, WAKATI huo) alisuluhisha huo mgogoro
 
Ukiisimamisha yanga hakika tunafungiwa na FIFA Maana YANGA ataenda mahakamani

Ndo mtajua hamjui
Akienda mahakamani kwani kosa analo Nani? Mfano nikuulize tu kuwa angekuwa mshindo msola angekubali lile la manara juzi litokee?? Jibu honestly
 
Kama tff wapenda haki vipi manara alivyoomba rufaa yake alipewa?? Tff wanakoelekea naona mwisho wao mbaya sana tena sio kidogo. Yanga wabishi na wamefanya kusudi ili wapate pa kuanzia ila msioona mbali mnaona jamaa zimbukutu kumbe wanazo kichwani akili za kutosha. Ukitaka kumkamata panya kwa mtego basi mtegee kwa dagaa au samaki.
 
Back
Top Bottom