Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

Nina uhakika kuna mtu au watu nyuma ya Manara,hakukurupuka jana,kufanya vile.
 
Ila manara anajua kuwavuruga utopolo.
Anajua madhara ya timu kushushwa daraja au ndo kwa kuwa HANA CHA KUPOTEZA?
Mimi nilidhani injinia anaweza akawa na akili kidogo pale yanga ukiacha mzee manara na kikwete kumbe na yeye NI BOGAZ
 
Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.

Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa.

MY TAKE;
Karia usipo angalia utateguliwa kiuno.
Mimi Yanga damu ila Manara hana heshima na anakosa ustaarabu anatuharibia Yanga yetu
 
Nina uhakika kuna mtu au watu nyuma ya Manara,hakukurupuka jana,kufanya vile.
Kuna watu hawamtaki Haji Manara hapo Yanga sasa wanatumia njia ya kijasusi kumtema kwa kumjaza upepo ili aipandishie TFF mabega,akifungiwa mazima wao wanachekea chooni
 
Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku.

Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa.

MY TAKE;
Karia usipo angalia utateguliwa kiuno.
Ahaha ile barua ni kwa hersi na manara sio yanga.
 
HAYA NDO MAMBO SASA, BUGATTI finally limepata mahala pa kuiingiza taasisi kwenye matatizo yake, hongera Barbara uliona mbali sana kwa kweli
Manara anaweza kuwa na mapungufu mengi lakini Barbara hawezi kuwa kiongozi bora kwa simba plus Mo simba bado sana tunajitafuta ila kwa vile tunaleta ushabiki wa kijinga tuishi tu
 
Yaani huyu bwege huwa anapenda kuyafanya matatizo yake kuwa ya club.
 
Barbara hawezi kuwa kiongozi bora kwa simba plus Mo simba bado sana tunajitafuta ila kwa vile tunaleta ushabiki wa kijinga tuishi tu
Kiongozi bora anapimwaje,zaidi ya kuitoa taasisi mahali fulani kuipeleka higher level. Haters mnachekesha sana. tumpimeje Mo na Barbara zaidi ya kuilinganisha Simba ya 2016 na sasa?
Tumia kigezo cha performance appraisal badala ya kuisikiliza roho mbaya yako
 
Ila manara anajua kuwavuruga utopolo.
Anajua madhara ya timu kushushwa daraja au ndo kwa kuwa HANA CHA KUPOTEZA?
Mimi nilidhani injinia anaweza akawa na akili kidogo pale yanga ukiacha mzee manara na kikwete kumbe na yeye NI BOGAZ
Timu imetoka mikononi mwa mtu makini kakabidhiwa muhuni sababu ya pesa .
Sijui tutafika wapi ! Masikini Yanga yangu!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana manara. Kazi tuliyokupa ya kuivuruga utopolo unaifanya vizuri. Na wao wasivyokuwa na akili wanakushadadia
 
Back
Top Bottom