Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Cheap ina side effects zake

Mwananyamala na muhimbili wamejaa watu wa buguruni na matatizo ya matumbo,be careful
 
Ninachojiuliza ni kwamba hio nyama ni nyama kweli au expired. Mnalishwa vitu vya hovyo sana
 
w
wananunua wapi hizo nyama sasa?
 

Hehehe.hatari sana hii ...
 
Kaa huko huko mazee, usijetuchafulia hali ya hewa huku Masaki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…