Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti toka zamani alikuwa karibu sana na baba kuliko mama, alikuwa anapewa sana hela, na mabinti wa secondary unajua wanavyotaka kujionyesha. Mama aliondoka akaacha watoto hapo. Huyo dada yake msanii ndie kapambana nae sana maana baba alianza kuugua na hela ikakata. Kuna kipindi huyo binti alipelekwa moshi kumuomba mama yake msamaha ila sina hakika kama walifanikisha. Lakini mama hajawahi rudi hapo kwao hata baada ya msiba wa baba.Safi huyo mama alikua na akili.
Sijui ikawaje kat ya mama na mwanae !?
Kuna mwingine nimemjibu alikuwa na madai kama yako.Hiyo nyama inaitwa veel huko majuu. Wenye pesa ndio wanaokula. Unanunua ng'ombe mwenye mimba unapata hiyo akichinjwa. Kilo ya nyama ya kawauda sio chini ya 15000. Ng'ombe anatoa kilo 300 au zaidi za nyama itakayouzwa ukiacha vichwa, kongoro na vitu vyote vya ndani. Piga hesabu angalau huyo ngombe bei yake inafika mil 3 na kuendelea. Hapa kwetu Wagogo ndio wataalamu wa nyama hiyo. Pia zile soseji zinazotengeneza mitaani. Watu huona kinyaa tu sio sumu wala mbaya ni kama mtu anavyoshindwa kula konokono, kaa, taa nzige, panzi, senene na wadudu mbalimbali.
Uko sahihi. Mtu ukitaka kuishi bila stress nenda kaishi au starehe zako fanyia maeneo kama hayo.Cha msingi ukila hizo nyama haufi, we piga tu mkuu. Kuhusu kupambana hayo maeneo ndiyo mazuri, unatumia pesa kidogo nyingine unaweka serving
Bro hizo nyama, unafikri hao mama ntilie wananunua buchani? La hasha bro! Hizo ni reject, nyama zilizoisha muda wake, zimekaa sana kwenye freezers za hotel kubwa, mama ntilie wanapewa kwa bei chee!Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
UnaraHii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
Yan unafanyiwa urahisi Lin BDO unalalama, basi upewe gunia la chaeaHii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
😂😂Wengine zamani ilikuwa ndio maeneo yetu ya kuponea!.....
Hapo kimboka by nyt, na sewa,Sugaray(zamani)
TMK.
Pale sewa kulikuwa na kazeruzeru Fulani kadogodogo miaka ya 2007-2009 sijui Kako wapi kale katoto!?
Nilishaenda saana kukaulizia hakapo!....kalikuwa katamu balaa!.. kama vile unamgonga J.LO!
Nyama ya fisi Dar unadhani itakuwa bei rahisi?usikute nyama ya fisi nyie mnasema ng'ombe
Zimekaa muda gani? Mbona nyumbani watu wanaweka nyama kwenye freezer kwa muda mrefu tu.Bro hizo nyama, unafikri hao mama ntilie wananunua buchani? La hasha bro! Hizo ni reject, nyama zilizoisha muda wake, zimekaa sana kwenye freezers za hotel kubwa, mama ntilie wanapewa kwa bei chee!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kimboka pale ni shida.
Yule mzee alikula mpaka mtoto wake wa kumzaa, ndio maana baa imejaa laana ile.
Kuna vitu vingine ambavyo watu wanakuza tu. Mafuta ya transformer sidhani kama yanaweza kupatikana kila siku na kwa wingi kiasi hicho. Ni kama ile nadharia ya kusema njiani watu wanauza ndege badala ya kuku. Ni ndege gani wenye ukubwa wa kuku utawapa kwa kila siku?Chips za jero! Usikute zimepikwa kwa mafuta ya trasformer!
Reject?Bro hizo nyama, unafikri hao mama ntilie wananunua buchani? La hasha bro! Hizo ni reject, nyama zilizoisha muda wake, zimekaa sana kwenye freezers za hotel kubwa, mama ntilie wanapewa kwa bei chee!
Hii nyama ya mbwaHii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
unahamaje na ushakula supu ya mbupuAlafu pembeni ni kimboka
Kuna albino piajuzi nimekutana na bubu nae yupo anatoa huduma papuchi😔😔
Hahaha! Mkuu uliamua kujilipua sanaNiliwahi kumbeba mwanamke mlemavu wa kutumia baiskeli just for curiosity.
Kumbemba kwenye gari na baisikeli yake ilikuwa changamoto, ikabidi baiskeli niweke kwenye buti, matairi yakawa yanatembea kwny lami kama vile roli pulling!
Tukala mtungi tumejificha VIP nikisubiri kula mambo kwa shauku kubwa.
Hatimae tukaingia kitandani. Hamna maajabu, nikajilaumu nimepata tabu bure tu.
Ila mabubu wengi wanakuwaga na maajabu, hawajawahi kuniangusha.
punguza uvivu wa kufikiri kijana..... kuishi mazingira yenye gharama ndogo sio kukufanya uwe haupambani inategemea malengo yanayokuweka mjini kama unaona una hako katabia basi una wakati mgumu sana maana wapo wanaotoboa kwa kupunguza gharama za maisha na kile wanachopata wanawekeza.......Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368