Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Safi huyo mama alikua na akili.
Sijui ikawaje kat ya mama na mwanae !?
Binti toka zamani alikuwa karibu sana na baba kuliko mama, alikuwa anapewa sana hela, na mabinti wa secondary unajua wanavyotaka kujionyesha. Mama aliondoka akaacha watoto hapo. Huyo dada yake msanii ndie kapambana nae sana maana baba alianza kuugua na hela ikakata. Kuna kipindi huyo binti alipelekwa moshi kumuomba mama yake msamaha ila sina hakika kama walifanikisha. Lakini mama hajawahi rudi hapo kwao hata baada ya msiba wa baba.
 
Hiyo nyama inaitwa veel huko majuu. Wenye pesa ndio wanaokula. Unanunua ng'ombe mwenye mimba unapata hiyo akichinjwa. Kilo ya nyama ya kawauda sio chini ya 15000. Ng'ombe anatoa kilo 300 au zaidi za nyama itakayouzwa ukiacha vichwa, kongoro na vitu vyote vya ndani. Piga hesabu angalau huyo ngombe bei yake inafika mil 3 na kuendelea. Hapa kwetu Wagogo ndio wataalamu wa nyama hiyo. Pia zile soseji zinazotengeneza mitaani. Watu huona kinyaa tu sio sumu wala mbaya ni kama mtu anavyoshindwa kula konokono, kaa, taa nzige, panzi, senene na wadudu mbalimbali.
Kuna mwingine nimemjibu alikuwa na madai kama yako.

Veal siyo nyamafu ya mimba za ng'ombe kama wanazokula Buguruni. Veal ni nyama ya ndama wenye umri kati ya wiki 16 hadi 18.

Kama huelewi google tu "veal meat" utaona.
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Bro hizo nyama, unafikri hao mama ntilie wananunua buchani? La hasha bro! Hizo ni reject, nyama zilizoisha muda wake, zimekaa sana kwenye freezers za hotel kubwa, mama ntilie wanapewa kwa bei chee!
 
Unara

Yan unafanyiwa urahisi Lin BDO unalalama, basi upewe gunia la chaea
Wengine zamani ilikuwa ndio maeneo yetu ya kuponea!.....

Hapo kimboka by nyt, na sewa,Sugaray(zamani)
TMK.

Pale sewa kulikuwa na kazeruzeru Fulani kadogodogo miaka ya 2007-2009 sijui Kako wapi kale katoto!?

Nilishaenda saana kukaulizia hakapo!....kalikuwa katamu balaa!.. kama vile unamgonga J.LO!
😂😂
 
Chips za jero! Usikute zimepikwa kwa mafuta ya trasformer!
Kuna vitu vingine ambavyo watu wanakuza tu. Mafuta ya transformer sidhani kama yanaweza kupatikana kila siku na kwa wingi kiasi hicho. Ni kama ile nadharia ya kusema njiani watu wanauza ndege badala ya kuku. Ni ndege gani wenye ukubwa wa kuku utawapa kwa kila siku?
 
Bro hizo nyama, unafikri hao mama ntilie wananunua buchani? La hasha bro! Hizo ni reject, nyama zilizoisha muda wake, zimekaa sana kwenye freezers za hotel kubwa, mama ntilie wanapewa kwa bei chee!
Reject?
Wananunua machinjioni. Bei ya machinjioni ni rafiki sana, hakuma mama ntilie hapo buguruni ananunua buchani kupika supu.
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Hii nyama ya mbwa
 
Niliwahi kumbeba mwanamke mlemavu wa kutumia baiskeli just for curiosity.

Kumbemba kwenye gari na baisikeli yake ilikuwa changamoto, ikabidi baiskeli niweke kwenye buti, matairi yakawa yanatembea kwny lami kama vile roli pulling!

Tukala mtungi tumejificha VIP nikisubiri kula mambo kwa shauku kubwa.

Hatimae tukaingia kitandani. Hamna maajabu, nikajilaumu nimepata tabu bure tu.

Ila mabubu wengi wanakuwaga na maajabu, hawajawahi kuniangusha.
Hahaha! Mkuu uliamua kujilipua sana
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
punguza uvivu wa kufikiri kijana..... kuishi mazingira yenye gharama ndogo sio kukufanya uwe haupambani inategemea malengo yanayokuweka mjini kama unaona una hako katabia basi una wakati mgumu sana maana wapo wanaotoboa kwa kupunguza gharama za maisha na kile wanachopata wanawekeza.......

nijuavyo kwenye kujitafuta kula utazingatia ila sio kwa gharama kubwa na kwa uandishi wako bado unajitafuta kupata supu ya 500 inamaana unaweza ukala 2000 asubuhi 2000 mchana na 2000 usiku ukawa umetumia 6k na umetumbua sana tu...

Nadhani ingependeza kama ungeanzisha uzi uwahimize vijana kuspend less na kuwekeza kila wanachokipata kama faida swala la kula ghali au nafuu halina mchango wowowte kwenye upambanaji labda kama bado hujajua maisha ni zaidi ya kula.....kupata pesa na kuyaishi maisha yenyewe...
 
Back
Top Bottom