Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Wengine zamani ilikuwa ndio maeneo yetu ya kuponea!.....

Hapo kimboka by nyt, na sewa,Sugaray(zamani)
TMK.

Pale sewa kulikuwa na kazeruzeru Fulani kadogodogo miaka ya 2007-2009 sijui Kako wapi kale katoto!?

Nilishaenda saana kukaulizia hakapo!....kalikuwa katamu balaa!.. kama vile unamgonga J.LO!
Aisee umenikumbusha kitu ambacho kamwe mpaka nakufa nisingekikumbuka
 
Vyumba ambavyo maji ya mvua hayaingii ndani bei gan hapo bugurun?
Vyumba vipo vya kuanzia 25, 30 40 50 na kuendelea! Inategemea na bajeti yako, haviingii maji hata kidogo, mabondeni Kule kuna mpaka vyumba vya 10,000/=
 
Mkuu,

Kuwa makini na supu za buguruni, pamoja na nyama ya mbuzi ambayo huoni kichwa wala mkia wa mbuzi.

Ile unauliza nyama Gani unajibiwa tu, hii ni nyama ya mbuzi!! Utakula nyama zisizoeleweka kutoka vingunguti hapo.

Ng'ombe washajifia hawaachwi Bure Bure.
Kuna baadhi ya wanyama wa kufuga nyumbani ambao hawaliwi siku hizi hawaonekani kuzurula kabisa, eti Wachina, hamna ndio hayo ya Buku ruin.
 
Nyama robo ni 2500 na inatoa vipande 18 vidogo vidogo yva nyama. Hii wanauza 500 Ina vipande vingi hivyo wanatoaga wapi? 🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
Machinjio ya vingunguti ni na jirani na buguruni.,.

Kuna kipindi nilikuwa na tabia nikitaka kula nyama nyingi ya kuchoma napita machinjioni usiku, nyama choma ya shilling 5000 peke yako humalizi.
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Buguruni, tandika na mbagala huko pilau safi kabisa kwa 500 hadi 1,500 aisee.

Sasa kama hiyo supu hawa jamaa sijui huwa wanaiba hizo nyama?

Mtu kuteseka na maisha magumu dar ni kukosa taarifa tu.

Gharama za usafiri tandika, gombs, mbagala ni rahsi sana. Unaeza chukua boda distance ndefu tu bado ukalipa buku. Kariakoo posta 3,000 eti.

Kunasiku nimetoka zakiem hadi buguruni bajaji buku 4 nimekodi 😀.

Hapo buguruni hata pc bei zake haziwezi kuwa kubwa, ukihama utamis sana 😂.

Sukari unapimiwa had kwa kijiko, maisha yapi customized hadi raha. Unahudumia kadiri ya hela uliyonayo.
 
Back
Top Bottom