Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Hiyo mixer unaweza kuta ni ya ng'obe kama 10 hivi.
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Jifunze kushukuru Mungu kabla ya kuwa mjivuni!
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Mnalishwa nyama ambazo ni condemned kule machinjioni! Mtakuja kuugua Hydatidosis hivi hivi, shauri yenu!
 
Nasubiri atakayemsimulia yule bubu mwingine wa Mwanza, enzi hizo nimeenda kikazi huko nikaenda kiwanja sijui kinaitwa Diamond na mshikaji, zimekolea nikabeba bubu kwa ushauri wa mshikaji wangu, yeye akabeba mwenzake na bubu ila siyo bubu, weeh, Whiskey ile na moto niliompelekea bubu nilishtushwa na kelele za mshikaji chumba cha pili, akijua kuna ugomvi, nikisikia story za mabubu nabaki kucheka
 
Back
Top Bottom