Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Dah!.... Kalikuwa na inshu taiti kwelikweli!

Ile kojoleo sio ya nchi hii!.... Uzuri kalikuwa na hati punguzo...

Katikati ya show kama mlikubaliana viwili 5000, ukitaka cha 3 kwa kukaongeza Buku... Kanakubali hakana choyo!
Watu walikafaidi sana, walikuwa wanakatoa pate kwenye gest chafu ya Sewa,
Wanakapeleka White Horse nyuma ya Rozana ka Edwini, kanaoga vizuri halafu ndio show inaanza,
Asubuhi supu nzito, unakatoa twenty,
 
Kipindi nasoma, nilimaliza pesa yote ya Kutumia, Pale ndipo niligundua chocho flani ipo keko kule ndani ndani kwa mafundi wa kuranda,
Ugali nyama, na mboga za majani 250tsh,
Note, sio zamani ni chini ya miaka 10....
Tulikua tunaenda usiku, tukifika tunamuambia mama ntilie zima taa, lengo tusione tunachokula.

Tulikua mtu tatu, Jamaa yetu mboga Saba alisanda pale maduka mawili wakati tunatoka location akawa hawezi kutembea, aliendesha wiki tatu kasoro..
Baada ya ile term kuisha ndio mwanzo wangu wa nidhamu na pesa.
 
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.

Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!

Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!

View attachment 2982368
Halafu hapo nyuma ya soko....kulala buku 3....kitanda chake...kondomu yake na asubuhi maji ya kuoga unapelekewa bafuni...ukiongeza buku mbili unapata na staftahi.
 
Back
Top Bottom