Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Safi huyo mama alikua na akili.
Sijui ikawaje kat ya mama na mwanae !?
Binti toka zamani alikuwa karibu sana na baba kuliko mama, alikuwa anapewa sana hela, na mabinti wa secondary unajua wanavyotaka kujionyesha. Mama aliondoka akaacha watoto hapo. Huyo dada yake msanii ndie kapambana nae sana maana baba alianza kuugua na hela ikakata. Kuna kipindi huyo binti alipelekwa moshi kumuomba mama yake msamaha ila sina hakika kama walifanikisha. Lakini mama hajawahi rudi hapo kwao hata baada ya msiba wa baba.
 
Kuna mwingine nimemjibu alikuwa na madai kama yako.

Veal siyo nyamafu ya mimba za ng'ombe kama wanazokula Buguruni. Veal ni nyama ya ndama wenye umri kati ya wiki 16 hadi 18.

Kama huelewi google tu "veal meat" utaona.
 
Bro hizo nyama, unafikri hao mama ntilie wananunua buchani? La hasha bro! Hizo ni reject, nyama zilizoisha muda wake, zimekaa sana kwenye freezers za hotel kubwa, mama ntilie wanapewa kwa bei chee!
 
Unara
Yan unafanyiwa urahisi Lin BDO unalalama, basi upewe gunia la chaea
😂😂
 
Chips za jero! Usikute zimepikwa kwa mafuta ya trasformer!
Kuna vitu vingine ambavyo watu wanakuza tu. Mafuta ya transformer sidhani kama yanaweza kupatikana kila siku na kwa wingi kiasi hicho. Ni kama ile nadharia ya kusema njiani watu wanauza ndege badala ya kuku. Ni ndege gani wenye ukubwa wa kuku utawapa kwa kila siku?
 
Bro hizo nyama, unafikri hao mama ntilie wananunua buchani? La hasha bro! Hizo ni reject, nyama zilizoisha muda wake, zimekaa sana kwenye freezers za hotel kubwa, mama ntilie wanapewa kwa bei chee!
Reject?
Wananunua machinjioni. Bei ya machinjioni ni rafiki sana, hakuma mama ntilie hapo buguruni ananunua buchani kupika supu.
 
Hii nyama ya mbwa
 
Hahaha! Mkuu uliamua kujilipua sana
 
punguza uvivu wa kufikiri kijana..... kuishi mazingira yenye gharama ndogo sio kukufanya uwe haupambani inategemea malengo yanayokuweka mjini kama unaona una hako katabia basi una wakati mgumu sana maana wapo wanaotoboa kwa kupunguza gharama za maisha na kile wanachopata wanawekeza.......


nijuavyo kwenye kujitafuta kula utazingatia ila sio kwa gharama kubwa na kwa uandishi wako bado unajitafuta kupata supu ya 500 inamaana unaweza ukala 2000 asubuhi 2000 mchana na 2000 usiku ukawa umetumia 6k na umetumbua sana tu...

Nadhani ingependeza kama ungeanzisha uzi uwahimize vijana kuspend less na kuwekeza kila wanachokipata kama faida swala la kula ghali au nafuu halina mchango wowowte kwenye upambanaji labda kama bado hujajua maisha ni zaidi ya kula.....kupata pesa na kuyaishi maisha yenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…