Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Ile Sewa bado ipo?Alafu pembeni ni kimboka
Kuna supu Hadi ya ngoziHiyo mixer unaweza kuta ni ya ng'ombe kama 10 hivi.
Leftovers za machinjioni hizoHii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana.
View attachment 2982368
Mmiliki n nan?Kimboka pale ni shida.
Yule mzee alikula mpaka mtoto wake wa kumzaa, ndio maana baa imejaa laana ile.
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana.
View attachment 2982368
Nimefuga mbwa na paka buguruni, kila siku wanapotea, nanunua wengine, sasa nimeanza kuelewa.Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana.
View attachment 2982368
Nimefuga mbwa na paka buguruni, kila siku wanapotea, nanunua wengine, sasa nimeanza kuelewa.
Anaitwa gaudiens ...Mmiliki n nan?
Mimi robo nàpata vipande 4 tu mwenzangu 18 unàpataje?Nyama robo ni 2500 na inatoa vipande 18 vidogo vidogo yva nyama. Hii wanauza 500 Ina vipande vingi hivyo wanatoaga wapi? 🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️
ngara23Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana.
View attachment 2982368
Hao ni nyama ile ambayo haijapimwa yaani kibuduHii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana.
View attachment 2982368
Hii huitwa "Madulima" huwa inauzwa na wachinjaji na sio kibuduHao ni nyama ile ambayo haijapimwa yaani kibudu
Mkuu tema mate chini....haya mambo ni kumuomba Mungu tu! Vibudu vinafika Hadi Masaki na Oystabay ....Nina ijua hii industry kupitia kwa jamaa zangu Fulani! Dar ni Mji hatari sana.....hapo sijzungumzia supu za kuku wa kienyeji toka Singida!Mkuu,
Kuwa makini na supu za buguruni, pamoja na nyama ya mbuzi ambayo huoni kichwa wala mkia wa mbuzi.
Ile unauliza nyama Gani unajibiwa tu, hii ni nyama ya mbuzi!! Utakula nyama zisizoeleweka kutoka vingunguti hapo.
Ng'ombe washajifia hawaachwi Bure Bure.
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana.
View attachment 2982368
Halafu ndama, nyama kama Big-G haiishi mdomoni, migundigundi kama unakula fenesi.Hiyo mixer unaweza kuta ni ya ng'ombe kama 10 hivi.
Hawa wanojikutaga smart ndo wanalishwa vitu vya ajabu sana ili mradi viwekwe kwenye vifungashio vzuri vya kuvutiaMkuu tema mate chini....haya mambo ni kumuomba Mungu tu! Vibudu vinafika Hadi Masaki na Oystabay ....Nina ijua hii industry kupitia kwa jamaa zangu Fulani! Dar ni Mji hatari sana.....hapo sijzungumzia supu za kuku wa kienyeji toka Singida!
Ni sehemu gani mku nielekezeMachimbo Karibia yote ya hapa buguruni nayajua, ila sijawahi kwenda kununua, na kama ikitokea nahitaji hao malaya nitaenda kwa dada zangu wahaya huku Kwenye vyumba vyao maana nimepanga karibu na vyumba vyao, siwezi kununua wale wa kusimama barabarani
Kwa wahaya wale wenye vyumba?Ni sehemu gani mku nielekeze
Wapo wengi wenye ushuhuda kama wa kwakoMy first sex ilikua Kimboka.