Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Hiyo ni supu ya vitoto vya ng'ombe.
Kule Vingunguti wakichinja ng'ombe wakakuta ni mjamzito hivyo vitoto ndiyo wanauziwa wamama wa Buguruni wanaowapikia hizo supu za jero jero
Hiyo nyama inaitwa veel huko majuu. Wenye pesa ndio wanaokula. Unanunua ng'ombe mwenye mimba unapata hiyo akichinjwa. Kilo ya nyama ya kawauda sio chini ya 15000. Ng'ombe anatoa kilo 300 au zaidi za nyama itakayouzwa ukiacha vichwa, kongoro na vitu vyote vya ndani. Piga hesabu angalau huyo ngombe bei yake inafika mil 3 na kuendelea. Hapa kwetu Wagogo ndio wataalamu wa nyama hiyo. Pia zile soseji zinazotengeneza mitaani. Watu huona kinyaa tu sio sumu wala mbaya ni kama mtu anavyoshindwa kula konokono, kaa, taa nzige, panzi, senene na wadudu mbalimbali.
 
w

wananunua wapi hizo nyama sasa?
Machinjioni vingunguti na ukonga mazizini.

Mjuwe watu wa Pugu station hapa wanawachora tu, kule ndio mnada wa mifugo mguu wa mbuzi choma shilling 10,000/= tu

Watu wengi hawana taarifa sahihi za machimbo, kuna mwana nilikwenda naye kimbiji siku moja nikamwambia twende tukale samaki hakuamini bei yake ikabidi asombe wengi wa kurudi nao nyumbani.
 
Hiyo nyama inaitwa veel huko majuu. Wenye pesa ndio wanaokula. Unanunua ng'ombe mwenye mimba unapata hiyo akichinjwa. Kilo ya nyama ya kawauda sio chini ya 15000. Ng'ombe anatoa kilo 300 au zaidi za nyama itakayouzwa ukiacha vichwa, kongoro na vitu vyote vya ndani. Piga hesabu angalau huyo ngombe bei yake inafika mil 3 na kuendelea. Hapa kwetu Wagogo ndio wataalamu wa nyama hiyo. Pia zile soseji zinazotengeneza mitaani. Watu huona kinyaa tu sio sumu wala mbaya ni kama mtu anavyoshindwa kula konokono, kaa, taa nzige, panzi, senene na wadudu mbalimbali.
Nilikuwa nchi fulani baada ya kupiga kazi jioni tukapelekwa sehemu kula Pizza, ilikuwa mara yangu ya kwanza kula Pizza, wale wazungu karibu wote waliagiza seafood Pizza mmoja tu ndio aliagiza Margarita, nikaona huku kwenye seafood ndipo palipo na hekima.

Basi ni kweli seafood pizza ni the best lakini nikaona mpaka konokono ilibidi niweke pembeni magamba ya konokono kazi iendelee.
 
Mm tuseme ujana wangu nimekulia buguruni kuna watu humu wanajisifia kabisa kua walikua wanaenda kununua nyapu za under 18 😭😭dah?!!.Wangejua kua watoto wale wengi ni yatima ama wazazi wao waliwapa watu km wafanya kazi za ndani kumbe huku wanakuja kuuzwa.Kwa mtu mwenye akili timam huwezi hata kusimamisha ukimuoona wengine walikua hadi miaka 12 lakini unakuta mtu mzima kabisa ana bagain na mmiliki wa huyo mtoto.Hivi hao wazee ama nyie mnaofanya hivyo hamjazaa je hao mabint zenu wakija kufanyiwa mnayo wafanyia hao watoto dah🥶Na asilimia kubwa ya hao watoto wameishia kuumwa ukimwi dah!!
 
Wewe huna sifa za kuwa kiongozi nchi hii, sifa ya kwanza ya kuwa kiongozi Tanzania ni kuwa na roho mbaya na kutokuwa na huruma.
 
unasema bubu, kuna siku tuliharibikiwa gari pale sheli usiku kama wa saa 8. Tulielekezwa fundi yupo pale hoteli iliyoambatana na Kimboka. Tulikutana na kiwete wa kusota kabisa na yeye anauza mbwasha. Advertise yake anatingisha kiuno huku kasimamia mikono.

Nasikia ana wateja wa kutosha kabisa wa kupanga foleni. Kimboka ile ni fantasy land, hakuna utakachokosa pale.
Niliwahi kumbeba mwanamke mlemavu wa kutumia baiskeli just for curiosity.

Kumbemba kwenye gari na baisikeli yake ilikuwa changamoto, ikabidi baiskeli niweke kwenye buti, matairi yakawa yanatembea kwny lami kama vile roli pulling!

Tukala mtungi tumejificha VIP nikisubiri kula mambo kwa shauku kubwa.

Hatimae tukaingia kitandani. Hamna maajabu, nikajilaumu nimepata tabu bure tu.

Ila mabubu wengi wanakuwaga na maajabu, hawajawahi kuniangusha.
 
Kuna watu ni majaSiri sana, unatia kiwetebkabisa bila huruma?😂
 
Huu ni uongo ukienda machioni ukamuona ng'ombe jike ujue ni mgonjwa karibia 100% ni madume tupu
We jamaa usiwe mbishi, Mimi chakula Cha mbwa hua naletewa Kila wiki ndoo ya Lita 20 imejaa, na ni nyama kabisa ukiwa na tamaa unaweza kula nikaja kumuuliza jamaa wa machinjioni anapata vipi ndo ananiambia ni nyama ya mtoto wa ngombe aliyechinjwa akiwa tumboni, nilishangaa sana mpaka Leo najiuliza kwanini uchinje ngombe mwenye mimba
 
Uswahilini kwa wanaoanza maisha ni pazuri sana
Yan nikiwa 2nd year chuo ndio rasmi nilianza maisha ya kujitegemea nikawa nimepanga around Tandika sokoni. Maisha simple sanaaa.. nimepika sana mapande ya kuku ua Amidori yale. Very simple and cheap life kwa mtu ambaye hujajipata bado. Mita 20 mbele Danguro la wahaya.

Nilipofikir kuanza kua na family tu miaka kadhaa baadae nikaona pale hapanifai tena nikaoondoka.
 
Back
Top Bottom