Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

Baada ya wanajeshi hao kushindwa kuwazuia wakiwa Kalehe, vita vinaendelea eneo la Katana, ambalo lipo umbali wa km 11 tu kutoka uwanja wa ndege huo wa Kavumu.
 
mbona hapo maneno ni mengi mara m23 wanakaribia uwanja wandege mara tuambiwe m23 wamerudi nyumba sasa Ukweli ni upi?
 
Wangekua wanapinduliwa kila siku Kama ni dhaifu kiasi hicho
Ukiangalia historia ya congo utaona kuna kitu hakipo sawa, belgium walimuua secretary general wa united nations alivyokuwa anatua congo
Lumumba alipinduliwa
Mabutu naye akampindua aliyempindua lumumba
Kabila snr kwa msaada wa rwanda na uganda wakamfurusha mabutu akakimbia morocco
Kabila snr akauliwa na mlinzi wake
Hapo utaona hawajewekeza kwenye usalama , ulinzi na intelligence pamoja utajiri wote ule hawajapata kiongozi mwenye akili
 
Hizi ni Inside job,za wakubwa katika kuhakikisha Hali inakua hv kila siku
 

Hukui kabisa siasa za maziwa makuu.

Kasome upyaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…