jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Unatabiri nini kitajiri hapo baadae kwenye huu mgogoro ndugu mtoa mada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu.
Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10 kuhakikisha Bukavu inalindwa kwa nguvu yote.
Uwanja wa Kavumu, unatumiwa na serikali ya Burundi na DRC kuleta siraha toka Kinshasa na Bujumbula.
Baada ya wanajeshi hao kushindwa kuwazuia wakiwa Kalehe, vita vinaendelea eneo la Katana, ambalo lipo umbali wa km 11 tu kutoka uwanja wa ndege huo wa Kavumu.
Kukamatwa kwa uwanja huo, kutaondoa uwezekano wa serikali ya Burundi na kinshasa kuongeza nguvu. Hapo juzi, jeshi la Congo lilivamia wafanyabiashara na kupora mali zao, benki zimeibiwa.
View: https://x.com/kabagambei/status/1888701569870319802?s=46
Video, ni wanaouwawa Kivu kusini,kisa kuwa watutsi.
Washapata msaada toka Tchad. Siku za hivi karibuni jeshi jipya linaingiaCongo waombe msaada kwa Hamas au Hezbollah, waone kama m23 hawakuomba poo wenyew
Kwa navyoona mimi, kwanza kuna Kivu zote kujitenga na kujitegemea. Then FDLR itabaki Congo kama Congo,haitaiona tena mipaka ya Rwanda. Baada ya hapo,nipe muda nifikilie umoja wa Red-Tabara na M23.Unatabiri nini kitajiri hapo baadae kwenye huu mgogoro ndugu mtoa mada?
Yeah. Kwa mana wanajeshi wa Burundi wanarudi nyuma kulinda mji wenyewe sasaBaada ya wanajeshi hao kushindwa kuwazuia wakiwa Kalehe, vita vinaendelea eneo la Katana, ambalo lipo umbali wa km 11 tu kutoka uwanja wa ndege huo wa Kavumu.
Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu.
Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10 kuhakikisha Bukavu inalindwa kwa nguvu yote.
Uwanja wa Kavumu, unatumiwa na serikali ya Burundi na DRC kuleta siraha toka Kinshasa na Bujumbula.
Baada ya wanajeshi hao kushindwa kuwazuia wakiwa Kalehe, vita vinaendelea eneo la Katana, ambalo lipo umbali wa km 11 tu kutoka uwanja wa ndege huo wa Kavumu.
Kukamatwa kwa uwanja huo, kutaondoa uwezekano wa serikali ya Burundi na kinshasa kuongeza nguvu. Hapo juzi, jeshi la Congo lilivamia wafanyabiashara na kupora mali zao, benki zimeibiwa.
View: https://x.com/kabagambei/status/1888701569870319802?s=46
Video, ni wanaouwawa Kivu kusini,kisa kuwa watutsi.
HahahahaLengo la RDF si kumpindua Tshekedi ila ni kumkumbusha kutogusa maslahi ya Rwanda huko Kivu.
Ukiangalia historia ya congo utaona kuna kitu hakipo sawa, belgium walimuua secretary general wa united nations alivyokuwa anatua congoWangekua wanapinduliwa kila siku Kama ni dhaifu kiasi hicho
Hizi ni Inside job,za wakubwa katika kuhakikisha Hali inakua hv kila sikuUkiangalia historia ya congo utaona kuna kitu hakipo sawa, belgium walimuua secretary general wa united nations alivyokuwa anatua congo
Lumumba alipinduliwa
Mabutu naye akampindua aliyempindua lumumba
Kabila snr kwa msaada wa rwanda na uganda wakamfurusha mabutu akakimbia morocco
Kabila snr akauliwa na mlinzi wake
Hapo utaona hawajewekeza kwenye usalama , ulinzi na intelligence pamoja utajiri wote ule hawajapata kiongozi mwenye akili
We labda uelewa wako ndo mdogo. Waliorudi nyuma,kuulinda mji wa Bukavu, ni wanajeshi wa Burundimbona hapo maneno ni mengi mara m23 wanakaribia uwanja wandege mara tuambiwe m23 wamerudi nyumba sasa Ukweli ni upi?
Hii ni kweli!?.. sourceW
Washapata msaada toka Tchad. Siku za hivi karibuni jeshi jipya linaingia
Aamyn.Kuna watu wanaitafuta pepo, wengine wapo bize na dunia, kuuwa watu, na kuiba mali, life yenyewe is too short
Allah atujaalie mwisho mwema!
Mi sijawahi au sitowahi kukupa habari zilizojaa vumbi.Hii ni kweli!?.. source
Kivu kaskazini hawakuwepo?Mambo magumu kwa M23 maana jeshi la nchi ya Burundi wameingia
Kwa namna nilivyojua chanzo Cha mgogoro ni kubaguliwa Kwa banyamulenge ambao walitenganishwa na mipaka tu ya kikoloni na hitimisha Kwa kuwatakia M23 ushindi mnono ili kuuondoa huo ubaguzi wa kijinga wa watawala wa DRC.yaano ni sawa na sisi tuseme wamasai siyo watanzania Kwa sababu Kuna wamasai wanaoishi Kenya.