BUKAVU: M23 yakuta mlango wa mji wazi

BUKAVU: M23 yakuta mlango wa mji wazi

Tshiseked nikweli kafail ila uwezo wa yeye kuunda jeshi imara ilkuwa ngumu. Hii nkwasababu kuna watu ndani ya serikali yake na majiran zake wanakesha kuhakikisha DRC inakuwa dhaifu hasa kijeshi na kiuchumi.
Kwa mfano huyo Colonel Nangaa unadhan ameibuka ghafla au alkuwa kwenye plan ya mda mrefu na kinachoendelea saiv?

Ukiwa katika utulivu wa akili kumlaum Tshiseked sio rahisi. Ni bora akimbie nchi kuliko kukaa meza moja na m23,congo wajifunze kuwa na msimamo hata wakiipoteza kinshasa leo, siku watakapo amka waamke katika falsafa ya msimamo kwakuwa watakuwa wamesha take risk.
Nguvu aliyonayo Prezda Kagame ni msimamo na ni risk taker, wala siyo usahih wa anachokifanya. Ndo maana hata hapa kwetu tz Prezda Magu alikubalika kwa misimamo ila kuna mambo mengi aliamua vibaya.

Kwa wanaodhan ni vzuri kuwe na mazungumzo kati ya m23 na DRC wachukue hiyo picha wakamshauri Prezda PK akaunde serikali moja na FDLR waone watakacho jibiwa, na kiukweli sio salama hata kidogo.

Kiufup congo wakubali kupigana mpaka tone la mwisho ila wasikubali kwa hiari kukaa meza moja na waasi itakuwa yaleyale ya watanguliz wao.
Kwasasa wakubali tuu kwamb ubinafsi, usaliti, ukabila(ukanda), upofu na uchu wa madaraka wa watangulizi wao umewatesa vya kutosha.
Umesahau kutaja dhambi ya kuiba kura waliotenda Tshesikedi, kwani haukuwa mshindi, kwahiyo walioshinda wamehamua kutumia njia ya bunduki ili haki itendeke.
 
Rwanda itaonekana kusaidia kupindua serikali halali iliyochaguliwa kidemokrasia kitu ambacho sio kizuri hata kidogo.
Tshesiked alikuwa mshindi wa 3 hiyo dhambi ndio inamtafuna kwa sasa.
 
Umesahau kutaja dhambi ya kuiba kura waliotenda Tshesikedi, kwani haukuwa mshindi, kwahiyo walioshinda wamehamua kutumia njia ya bunduki ili haki itendeke.
Inawezekana ikawa sababu, lakin kwa East Africa suala kura na ushind halali kama vingekuwa sababu ya watu kuingia forest bhasi kote kungekuwa fire.
 
Kwa akili yako ulidhani Burundi inauwezo wowote wa kupambana na vijana wanaoisambaratisha DRC pamoja na mercenaries wa Kizungu? Kama askari wa Sauzi, Bongo pamoja na Malawi walikamatwa kama kuku wenye mdondo ndiyo ije kuwa Warundi njaa kali.
wale wazungu ni team M23 walifanya lile igizo kututia uoga tu
 
Habari zilizopo kwa sasa, ni kwamba baada ya wanajeshi wa Burundi na FARDC kukimbia uwanja wa ndege na kukimbilia mjini Bukavu, yawezekana M23 tayari ilikuwa mjini ikiwachora tu. Tofauti na Goma, M23 imewatangazia maeneo ya wazi wanaohitaji kutoka mjini humo, na kweli wanajeshi wa serikali wakachukua magari na kusepa. Baada ya muda, ndipo jeshi la M23 likaonekana likikalibishwa kwa shangwe na raia.

Haya

Baada ya rais wa DRC kuapa hatokaa kuzungumza na M23, wanamkumbusha kuwa safari yao itaishia Kinshasa.

Kwa kasi hii, huko maporini na kwenyewe kutaachwa silaha kama za Kivu kaskazini na kusini? maana M23 inazoa kama hazina mwenyewe

Usafiri sasa, ndo usiseme.Kila aina ya gari,lipo. Wakisamehe, Kivu inajitenga.Wakisonga,basi uwezekano wa mzee Felix kubaki huko huko ulaya ni mkubwa.

View attachment 3236597

View: https://x.com/i/status/1890440659594535334


View: https://x.com/i/status/1890446842187641041

Wakuje
 
hv hao watutsi unawatetea unajuwa kuwa wameua marais wangap wakihutu ? na unataka wahutu wafundishe watoto wao kuwapenda ? hv unajuwa hapo eastern Drc watutsi walikuwa hata robo ya population nzima hawafiki ila leo wana waua wale waliowapokea na kuish nao kwa amani , Je huko Uganda nan aliwatesa mpk wakapindua serikali halali ? usipende kuanzia katikati kweny usimuliaji wa simuliz zako , watutsi ndo wanafanya wachukiwe maana hawatak kuish kwa usawa , wanataka special care kuliko jamii zingine , Huko Rwanda rais mhutu alikuwa kashakubali matakwa yao ili waish kwa amani , watutsi walimuua usiku huo huo kabla taratibu za kuleta amani hazijaanza tekelezwa , watutsi ni wakorofi ipo siku wakifika Tz utarud hapa kufuta threads zako
 
Umesahau kutaja dhambi ya kuiba kura waliotenda Tshesikedi, kwani haukuwa mshindi, kwahiyo walioshinda wamehamua kutumia njia ya bunduki ili haki itendeke.
nan alishinda na kashika bunduki katika jina gan
 
Kwa akili yako ulidhani Burundi inauwezo wowote wa kupambana na vijana wanaoisambaratisha DRC pamoja na mercenaries wa Kizungu? Kama askari wa Sauzi, Bongo pamoja na Malawi walikamatwa kama kuku wenye mdondo ndiyo ije kuwa Warundi njaa kali.
Bongo walikamatwa wapi na kwanini??
 
Sasa hivi kuna uongozi legevu waulize hao M 23 jina la Kikwete na B.Membe watakwambia ni akina nani
Umejibu swali kwanza? Rais aliyepo kwa sasa unamzidi akili? Uongozi huo ambao haukuwa legevu, unajihusisha vipi na maswala ya nchi nyingine?
 
Back
Top Bottom