Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

Hakuna watu bogus kama nshomile, hayo mashindano ya kujenga migombani ni kujitutumua tu kuonyesha uwezo mkubwa dhidi ya majirani na ndugu wengine, nshomile atafanya mishe zote town akaonyeshe sifa kijijini kwake.....
 
Wew unataka vijijini kuwepo na nyumba za tembe Kama huko kwenu.
 
Sawa Magu kajitahidi.

Lakini kaubagua huu mkoa kwenye stendi ya mkoa, soko kuu la mji na barabara za mjini zimechakaa Sana.

But kwa upande vijijini huko ndio Kuna mijumba na mahekalu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeguswa kisawasawa.
Instanbul umebadili ID ili uje na picha za vieneo vichache vyenye vijumba ili ionekane mtu baki kapasifia BUKOBA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NENDA MOSHI ANZA NJIA PANDA YA HIMO, PANDA NJIA YA MARANGU HADI UKIFIKA MARANGU MTONI UTAGUNDUA BUKOBA HUTO NI TUJUMBA, baada ya kutoka marangu nenda kilema,kiraracha then geuza nenda ROMBO.
UKIMALIZA ZUNGUKA MLIMA ANZA NA SIHA, NENDA MACHAME,KIBOSHO hutatamani kupasifu bk
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mmeshaanza chokochoko, usiofu mkuu hayo ni maeneo machache aliyobahatika kufika Bukoba kuna sehem nyingi nzuri tu
 
Hakuna watu bogus kama nshomile, hayo mashindano ya kujenga migombani ni kujitutumua tu kuonyesha uwezo mkubwa dhidi ya majirani na ndugu wengine, nshomile atafanya mishe zote town akaonyeshe sifa kijijini kwake.....
Hapo umekosea mkuu, uhayani ni aibu we ndo msomi kwenye familia unafany kazi kampuni kubwa au una biashara nzuri tu huko mikoani alafu December unafikia kwa ndugu au umejenga nyumba ya hovyo unazidiwa na ndugu zako waliobaki wanaendesha bodaboda. Hata hivyo ni baraka pia ukiwafanya wazazi waishi sehem nzuri hata kama ni kijijini
 
Umezaliwa na kukulia Bukoba? Maana inawezekana hali ya Migomba ilikuwa hivohivo miaka yote..Ila kwakuwa hukukulia huko ukawa unadhani labda hata barabara za Bukoba zinapita kwenye majani ya migomba.
 
Nshomile booster tu hamna kitu,
Hawajui interpreneurship matokeo yake wakistaafu wanaanza kuuza nyumba zao ili wa survive,
Wanajishaua sana wakiwa vibaruani,
Wanajenga nyumba nzuri, gari zuri ila end of the day hawana masalio ya baadae.
Kama wapo ni wachache tu kama ilivyo kwenye jamii nyinginezo
 
Sasa mtani waitu, punguzeni majivuno kidogo basi angalau mwende sawa na watu wengine.....pia mnakuwa na ubinafsi na hila nyingi sana dhidi ya watu wa makabila mengine.
 
Wew unataka vijijini kuwepo na nyumba za tembe Kama huko kwenu.
Waitu nasikia hayo magofu mnajenga kwa ajili ya kukaa mizimu maana wote mlishakimbia kwenu, mmelowea kwenye mikoa mingine.....
 
Eti nimebadili ID.

Kajana unataka ligi na huko Moshi wakati tushawashinda.

Sijui mkionaga vijiji vya bukoba vinasifiwa mnawashwagwa nyinyi vichaa wa uru
 
Halafu huko Rombo nilipaona ITV ni pachovu kweli na pombe ni nyingi mpaka mtu anasahau watoto wake
 
Nshomile booster tu hamna kitu,
Hawajui interpreneurship matokeo yake wakistaafu wanaanza kuuza nyumba zao ili wa survive,
Wanajishaua sana wakiwa vibaruani,
Wanajenga nyumba nzuri, gari zuri ila end of the day hawana masalio ya baadae.
Kila mtu Aishi maisha yake aliyoyachagua .

Unataka wasile maisha au wivu unakusumbua
 
Waitu nasikia hayo magofu mnajenga kwa ajili ya kukaa mizimu maana wote mlishakimbia kwenu, mmelowea kwenye mikoa mingine.....
Lakin mbona mkoa wa kagera ni wa tatu nchini kwa idadi ya watu nyuma tu ya dar na mwanza .

Mkoa una 3million people na density ya 124 per kilometre
 
Nshomile booster tu hamna kitu,
Hawajui interpreneurship matokeo yake wakistaafu wanaanza kuuza nyumba zao ili wa survive,
Wanajishaua sana wakiwa vibaruani,
Wanajenga nyumba nzuri, gari zuri ila end of the day hawana masalio ya baadae.
Mimi watani zangu hao, ngoja niwaachie ligi yenu nshomile na watu wa moshi...
 
Duuh
Duuh
 
Lakin mbona mkoa wa kagera ni wa tatu nchini kwa idadi ya watu nyuma tu ya dar na mwanza .

Mkoa una 3million people na density ya 124 per kilometre
Dah! population hiyo ni kubwa sana aisee, kuunganisha mkoa huu na mikoa mingine jirani kama Mwanza kwa barabara za lami kutaufanya uvutie zaidi kwa watu kuweka makazi na uwekezaji.
 
Tatizo mkiishia mijini basi mnatangaza kuwa mnautahamu mkoa, watu wake na tamaduni zake.....huu utoto sijui utaisha lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…