Mbona barabara za lami zipo au unataka zipDah! population hiyo ni kubwa sana aisee, kuunganisha mkoa huu na mikoa mingine jirani kama Mwanza kwa barabara za lami kutaufanya uvutie zaidi kwa watu kuweka makazi na uwekezaji.
Mara ya kwanza kwenda huko nilipata taabu sana kupata usafiri wa haraka kurudi mwanza, ilibidi nisubiri meli saa tano usiku.....hadi nikapaona pamekaa kushoto sana.Mbona barabara za lami zipo au unataka zip
Duh utakuwa ulienda mwaka tisiniMara ya kwanza kwenda huko nilipata taabu sana kupata usafiri wa haraka kurudi mwanza, ilibidi nisubiri meli saa tano usiku.....hadi nikapaona pamekaa kushoto sana.
Barabara ya mwanza bukoba imejengwa kitambo Sana na inapita chato kwa magu.Mara ya kwanza kwenda huko nilipata taabu sana kupata usafiri wa haraka kurudi mwanza, ilibidi nisubiri meli saa tano usiku.....hadi nikapaona pamekaa kushoto sana.
We jamaa unaishi Tanzania kweli, hivi kuna mikoa leo hii haijaunganishwa na lami??Dah! population hiyo ni kubwa sana aisee, kuunganisha mkoa huu na mikoa mingine jirani kama Mwanza kwa barabara za lami kutaufanya uvutie zaidi kwa watu kuweka makazi na uwekezaji.
Pale stendi vumbi sana, bodaboda kibao na mikungu ya ndizi kila mahali....mngepunguza majungu, ubinafsi na fitna mngekuwa mbali sana.Duh utakuwa ulienda mwaka tisini
Bodaboda wapo ili kurahisisha usafiri sioni kama ni tatizo, serikali ya ccm imeshindwa kujenga stendi hilo sio jukumu la wananchiPale stendi vumbi sana, bodaboda kibao na mikungu ya ndizi kila mahali....mngepunguza majungu, ubinafsi na fitna mngekuwa mbali sana.
Hakuna sehemu Duniani isiyokuwa na hayo Mambo matatu uuliyoyatajaPale stendi vumbi sana, bodaboda kibao na mikungu ya ndizi kila mahali....mngepunguza majungu, ubinafsi na fitna mngekuwa mbali sana.
Hakuna mkoa unaoitwa songeaHata mkoa wa Moshi na mkoa wa Songea ni hivyo hivyo
Nyie mmezidi mzee, mnaweza kuamua kuongea kihaya ili kuteta wasiokuwa wahaya, halafu mna hila sana na mnalegalega kwenye swala la uaminifu kwenye mahusiano mbalimbali ikiwemo mapenzi.Hakuna sehemu Duniani isiyokuwa na hayo Mambo matatu uuliyoyataja
Kijana wanajulikana kwa sababu ni kabila kubwa.Nyie mmezidi mzee, mnaweza kuamua kuongea kihaya ili kuteta wasiokuwa wahaya, halafu mna hila sana na mnalegalega kwenye swala la uaminifu kwenye mahusiano mbalimbali ikiwemo mapenzi.
Rudia utafiti wako upya,sa ukifika Moshi si utapagawa? Umeme mpaka mitoni hata ukijenga mtoni una barabara yako,utafananisha na BK kweli?Ila kwa Tanzania hakuna mkoa wenye makazi Bora vijijini Kama kagera
Mmeshatia Kambi vichaa wa uru.Rudia utafiti wako upya,sa ukifika Moshi si utapagawa? Umeme mpaka mitoni hata ukijenga mtoni una barabara yako,utafananisha na BK kweli?
Kivyovyote Kagera itasubiri sana kufikia level za Kilimanjaro,labda baada ya miaka 50Mmeshatia Kambi vichaa wa uru.
Hebu linganisha mkoa wako na mkoa wa kagera kwa ukubwa tu na population
[emoji23][emoji23] sawa labda Kilimanjaro hiyo ya Amsterdam sio ya hapa bongo.Kivyovyote Kagera itasubiri sana kufikia level za Kilimanjaro,labda baada ya miaka 50