Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hao wezi wa CAG nu wakubwa wenzao hawawezi kufungana.Wanaoiba mabilioni mbona hamuwapeleki mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wezi wa CAG nu wakubwa wenzao hawawezi kufungana.Wanaoiba mabilioni mbona hamuwapeleki mahakamani
Umewaza kama mimi kwasababu hivi vitu vingeweza kuishia hukohuko tuAlimaliza digriiiiiii, akapata gepu la ada ndipo akaunganisha mastaz. Akaomba ruhusa Kwa kudanganya.
Itakuwa mmoja kati ya Hawa waliomba kupiga mti akawachomoa ndipo wakakinukisha DED , Deo, hr. Dso na dao
Umeelewa hayo maelezo?Yaani hata digrii ya kwanza hakuwa nayo anaonyesha kufoji halafu kaomba ruksa akasome digrii ya Pili kumbe anaenda kulala nyumbani
Aweza kuwa form four failure huyo.sawa.ba wale waliofoji wakalipwa na serikali eti walitumikia taifa na kufoji mivyeti kwao
Serikali ikaamua kuwalipa
Mkuu umeelewa kweli kilichoandikwa?Yaani hata digrii ya kwanza hakuwa nayo anaonyesha kufoji halafu kaomba ruksa akasome digrii ya Pili kumbe anaenda kulala nyumbani
Aweza kuwa form four failure huyo.sawa.ba wale waliofoji wakalipwa na serikali eti walitumikia taifa na kufoji mivyeti kwao
Serikali ikaamua kuwalipa
AliunguzwaDah hii mbona wengi sanaa tunafanya.
Unasoma degree ukimaliza, unarudi kazini na kiandika barua kuwa "Ulifeli mwaka wa tatu chuo, hivyo unaomba mwaka mmoja ukamalizie"
Halafu unarudi chuo kusoma mwaka wa kwanza wa masters.
Ule wa pili (research) unaenda kufanyia kazini.
Hili ni jambo la kawaida sanaa serikalini.
Huyu Kuna nyuma ya pazia zaidi ya hilo la ruhusa..!!!
#YNWA
Lakin kaz s anaendelea hapo?Jumba bovuu,
Hili wengi sana, wengi sanaaa wanafanya hivyo.
Nchi bado ina uhitaji wa walimu. Kama ni kulipa deni, alilipe akiwa anatumikia wajibu wake kwa kukatwa malipo yake ya sasa. Kumuweka mwalinu gerezani inamsaidia nani?Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba.
Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri kujifanya hajamaliza masomo ya shahada ya kwanza ndani ya muda aliopewa na mwajiri wake ili aweze kuendelea na shahada ya pili.
Kosa la pili ni kuisababishia Serikali hasara kwa kuendelea kulipwa mishahara kwa kipindi cha udanganyifu asichokuwepo kazini.
Mshtakiwa ametiwa hatiani na kupewa adhabu ya kifungo cha miaka 3 or fine ya 1 milioni kwa kosa la kwanza. Na kifungo cha miaka 3 bila fine kwa kosa la pili.
Pia imeamuliwa jumla ya sh. 22,252,134.73/= iliyopokelewa kama mishahara azirudishe kwa mwajiri wake.
Hujaelewa bro! Huyo amedangsnya kuwa "degree ya kwanza bado! " Ili apewe ruhusa amalizie degree yake,kumbe kwa wakati huo, ye ye degree ya kwanza ameishamaliza, anapiga ya pili! Ila mwajili kaambiwa degree ya kwanza ndio inatafutwa!Yaani hata digrii ya kwanza hakuwa nayo anaonyesha kufoji halafu kaomba ruksa akasome digrii ya Pili kumbe anaenda kulala nyumbani
Aweza kuwa form four failure huyo.sawa.ba wale waliofoji wakalipwa na serikali eti walitumikia taifa na kufoji mivyeti kwao
Serikali ikaamua kuwalipa
Kwasababu ni Mwanamke[emoji41][emoji41][emoji41]Weka picha yake wasamalia wapo watamlipia tu
Tatizo la akina Nshomile ujuaji mwingi na Misifa kibao.Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba.
Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri kujifanya hajamaliza masomo ya shahada ya kwanza ndani ya muda aliopewa na mwajiri wake ili aweze kuendelea na shahada ya pili.
Kosa la pili ni kuisababishia Serikali hasara kwa kuendelea kulipwa mishahara kwa kipindi cha udanganyifu asichokuwepo kazini.
Mshtakiwa ametiwa hatiani na kupewa adhabu ya kifungo cha miaka 3 or fine ya 1 milioni kwa kosa la kwanza. Na kifungo cha miaka 3 bila fine kwa kosa la pili.
Pia imeamuliwa jumla ya sh. 22,252,134.73/= iliyopokelewa kama mishahara azirudishe kwa mwajiri wake.
Sasa angegawa kwa hao wote?.Alimaliza digriiiiiii, akapata gepu la ada ndipo akaunganisha mastaz. Akaomba ruhusa Kwa kudanganya.
Itakuwa mmoja kati ya Hawa waliomba kupiga mti akawachomoa ndipo wakakinukisha DED , Deo, hr. Dso na dao
Hahaha watanzania tunashida sana, Umeandika vizuri kuonyesha umeelewa udanganyifu alioufanya. Sasa hizo chuki,roho mbaya na kuchomeana zimetoka wapi?Maelezo yanaonesha, alikuwa na ruhusa ya kusoma shahada.
Lakini alipomaliza shahada, akaandika kwa mwajiri kuwa hajamaliza hiyo shahada yake kwahiyo anahitaji muda zaidi (ili atumie huo muda kusoma, Masters).
Sasa inavyoonekana Kuna elements zenye Chuki, roho mbaya na kuchomeana zimehusika hapa.
Tena mhayaaaHalafu ni wa kike duuh,
Waliokwisha pita si idadi inazidi?