Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

Ukisoma comment za wachangiaji waliowengi katika huu uzi utaona ni namna gani nchi yetu imejaa wezi.
Kwa hali hii namuunga mkono mama yetu kuuza bandari hata ikibidi atuuze hata sisi watanzania.
 
Sijaelewa hiyo mishahara anairejesha kwa Nini!??
 
Nchi ngumu hii.
Sitetei huu ujinga wa mwalimu. Nchi yetu kesi za dagaa unaangushia adhabu ya kubeba jiwe la tani 5 lakini kesi ya nyangumi adhabu zao ni barua tu. Huna kazi kaa pembeni hatimae nywiiii. Hakuna kinachoendelea.
 
Mtuhumiwa hana hata upenyo wa kutokea. Akilipa faini, atafungwa. Asipolipa faini bado atafungwa tu. Kibaya zaidi anatakiwa arudishe hayo mamilioni ya fedha wakati tayari atakuwa gerezani. Ama kweli tamaa nyingi, mbele kiza kitupu.
 
Umeandika Gazeti, bila sababu za msingi.
 
Si ajabu alimchoma mwalimu mwenzake,ndo maana tunashauriwa kuwa wasiri maana watu wamejawa na wivu.
Alafu nashangaa jambo dogo kama hili limefikaje mahakamani,yaani kuna watu nu wa kuendea kwa mganga tu
 
Sijui ni njaa mchana huu mbona sielewi,yaani hii mifumo yetu mbona ya kishamba hivi,loopholes kibao,hapo wamwache msomi wetu wawajibishwe wenye mamlaka,Kwa wenzetu hapo wangeshajiuzulu mbuzi kadhaa ila huku hawagusiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…