Bukoba: Mwalimu wa dini ambaye pia ni Daktari wa Viongo akamatwa kwa tuhuma za kubaka watoto

Bukoba: Mwalimu wa dini ambaye pia ni Daktari wa Viongo akamatwa kwa tuhuma za kubaka watoto

Hata hivyo, Jeshi la Polisi limegundua kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa akitumia mbinu ya kutoa msaada kwa familia zenye uhitaji kila Jumamosi, ambapo baadhi ya familia hizo huwatuma watoto wao kufuata mahitaji yao ofisini kwake, na ndipo hutumia nafasi hiyo kuwafanyia ukatili huo.

Source: Swahilitimes
Mosi: Waandishi wa Tanzania jifunzeni kutumia maneno ''hata hivyo'' kwenye habari. Hili ni kosa linalojirudia mpaka kwenye vyombo vikubwa vya habari. Sahihi hapa ingewa ''pamoja na hayo'' etc. Ukishasema ''hata hivyo'' sentensi inayofuata ni lazima ikinzane na unachozungumzia. eg
Pili: Ubakaji wa watoto Tanzania uko juu sana sababu kubwa ni wazazi 1. kutokuwa waangalifu na kuamini watu kirahisi 2. Kutokuwa karibu na watoto wao na kuwa wakali. 3. Serikali kutokuwa na mikakati ya kuzuia na kutoa elimu na rushwa kwa polisi au mahakama.
 
Wavaa kobazi bhana.
 

Attachments

  • Gau61OiWwAAieUo.jpeg
    Gau61OiWwAAieUo.jpeg
    110.2 KB · Views: 3
Bhahahaa, umemchokoza mfuasi wa fala Allah FaizaFoxy ngoja akusikie.
hapo nawaona kondoo mmekosa hoja tu. Wala hamnistui, kwa sababu ukweli mnaujuwa. kama hamuujuwi, msiutafute kwangu, kuna Chat gpt siku hizi, mambo laini.

Jibu lake utuletee na sisi.
 
Mtume wake alioa katoto ka miaka sita, akaanza kukaingilia kimwili (kukabaka) kakiwa na miaka 9.

Huyu kijakazi wa mtume atakuwa haoni shida kufuata nyayo za pedophile Muddy.
Duh
 
Hahaha mbona hakuna aliye mtafuta Dr.Gwajima, au hili halimuhusu?
 
Hizi ni tuhuma za kubambikiwa tu baada ya kuonekana anafadhili harakati za upinzani ktk Jimbo lake.

CCM, ubaya hauna kwao, na shetanI hana rafiki
 
Hizi ni tuhuma za kubambikiwa tu baada ya kuonekana anafadhili harakati za upinzani ktk Jimbo lake.

CCM, ubaya hauna kwao, na shetanI hana rafiki
Kama ni mpinzani hili linawezekana
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom