FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Hao unawaonea bure.Jwtz ni jeshi la kizamani sana,hawana mitumbwi ile ya hewa ambayo wangefika nayo hapo,hii ndege ingeanguka kati kati ya ziwa watu wote wangekufa, nchi zilizoendelea huwa tunaona kwenye media jeshi linafika kwa ndege na askari wanashuka kwa parachute ziwani
Kama nchi haitonunua vifaa siku moja itazama ndege kzti kati ya ziwa watu wote wafe
Yaani watu wanaoamini upumbavu Sana.Basi utabiri itakuwa rahisi sana ndio maana manabii fake wanaweza.
Na mimi natabiri kuna ajali ya gari yenye abiria itatokea tanzania kwenye barabara siku za hivi karibuni.
Jamani😂😂😂 nacheka kama ni vizuri ila sorry 😂😂😂Ndugu hata hizo za mashirika ya kimataifa, likitokea la kutokea imo. Nakumbuka 2015, Turkish Airline, rubani alitua vibaya sana si kwa kishindo kile ardhini. Hiyo siku nilijamba sana kwa hofu, tumbo lilijaa gesi vibaya mno
Unatabiri kirahisi hivyo baada ya kushiba chips?Basi utabiri itakuwa rahisi sana ndio maana manabii fake wanaweza.
Na mimi natabiri kuna ajali ya gari yenye abiria itatokea tanzania kwenye barabara siku za hivi karibuni.
Ndugu hata hizo za mashirika ya kimataifa, likitokea la kutokea imo. Nakumbuka 2015, Turkish Airline, rubani alitua vibaya sana si kwa kishindo kile ardhini. Hiyo siku nilijamba sana kwa hofu, tumbo lilijaa gesi vibaya mno
Tuombe iwe hivyo !! Lakini zoezi la utayari bila vifaa vya kutosha si ni kuwaogopesha wanaosafiri kwa Ndege ! Au ??Zoezi la utayari
Maono ya logo nyekundu na kukatika ikiwa angani, mbona details hata moja haifananii na hii. Ukiondoa neno ndege hapo mengine hakuna kitu walau hata angesema itaanguka kwenye maji. Jamaa labda hakutabiri ajali hii otherwisr hakuna utabiri hapo.Unatabiri kirahisi hivyo baada ya kushiba chips?
Wenzako wanatabiri baada ya kupata maono halisi ndotoni na kuyachambua maana zake.
Sasa wewe? Umeshiba tu chips unaleta utabiri tambi tambi?
Acha hizo bwana!
Wamekariri !!Wahuni walisha anza Mara eti ajali zoezi , yani ajali zoezi na abira, alafu robo 3 ya ndege umefunikwa na maji ,Sijui wanafanyaga haya KWa faida ya nani
Tunaangalia DHIMA KUU YA MAONO.Maono ya logo nyekundu na kukatika ikiwa angani, mbona details hata mija haifananii na hii. Ukiondoa neno ndege hapo mengine hakuna kitu walau hata angesema itaanguka kwenye maji. Jamaa labda hakutabiri ajali hii otherwisr hakuna utabiri hapo.
Nina maono kuna ajali itatokea tanzania kwenye barabara ambapo ni ajali ya gari yenye matairi.
Kuzaliwa 3rd world ni janga!BBC wameonyesha live ila huku ni kwaya tu as if ni kama kasiri fulani hivi yani hii nchi siasa mpaka kwenye uhai wa watu,poor country with evil political instability
Basi kwa imani hii ndio maana mnapigwa na akina masanja na shilaTunaangalia DHIMA KUU YA MAONO.
Details ndogo ndogo hazina uzito sana. Na huenda huyu mtabiri alipewa maono yaliyovurugika ili kuepusha taharuki.
Maana watu wangeanza kuzikimbia ndege zote zenye logo nyekundu.
HATIMA HAIKIMBIWI, kila lililopangwa litatokea. KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE.
MWISHO:
Kuwa msikivu. Zingatia kila ujumbe hata kutoka kwa kichaa anayeokota makopo.
Ukiwa mbishi mbishi utakufa tu.
Na naamini kwenye hiyo ajali ya gari utakuwa mmoja wapo wa watakaoangamia.
Pumzika kwa amani KAKA NAFAKA.
Bado kuna abiria hawajatolewaNa kuna mahala hapa nimeoma Taarifa kuwa Abiria wote Wameokolewa na kuna nyingine isema Mtu Mmoja Kafa. Sijui tushike lipi kwakweli.
Kadri muda unavyokwenda ndio hatari kwa waliomo ndani maana watayanywa maji au wata suffocate kwa kukosa oxygen. !! Hatar sn. !vuteni hiyo ndege na kamba yenye nanga ifike ufukweni, acheni uvivu watu mliopo hapo
acheni kuhangaika na picha,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndege zina BIMAPrecision Air waache janja janja, laana ya dhulma itawanyoosha. Afadhali hakuna aliyepoteza maisha ila wataingia gharama ....hawawezi kulikwepa na hili.😡
You are wrongWakuu hiyo ni AJALI ZOEZI. Sio ajali kamili[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]