Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Jwtz ni jeshi la kizamani sana,hawana mitumbwi ile ya hewa ambayo wangefika nayo hapo,hii ndege ingeanguka kati kati ya ziwa watu wote wangekufa, nchi zilizoendelea huwa tunaona kwenye media jeshi linafika kwa ndege na askari wanashuka kwa parachute ziwani

Kama nchi haitonunua vifaa siku moja itazama ndege kzti kati ya ziwa watu wote wafe
Hao unawaonea bure.

Kazi yao ni kuwalinda wanasiasa mafisadi huku wakiwabutua wananchi mateke.

Mambo kama haya HAWAKUSOMEA.
 
Basi utabiri itakuwa rahisi sana ndio maana manabii fake wanaweza.
Na mimi natabiri kuna ajali ya gari yenye abiria itatokea tanzania kwenye barabara siku za hivi karibuni.
Yaani watu wanaoamini upumbavu Sana.
 
Basi utabiri itakuwa rahisi sana ndio maana manabii fake wanaweza.
Na mimi natabiri kuna ajali ya gari yenye abiria itatokea tanzania kwenye barabara siku za hivi karibuni.
Unatabiri kirahisi hivyo baada ya kushiba chips?

Wenzako wanatabiri baada ya kupata maono halisi ndotoni na kuyachambua maana zake.

Sasa wewe? Umeshiba tu chips unaleta utabiri tambi tambi?

Acha hizo bwana!
 
Ndugu hata hizo za mashirika ya kimataifa, likitokea la kutokea imo. Nakumbuka 2015, Turkish Airline, rubani alitua vibaya sana si kwa kishindo kile ardhini. Hiyo siku nilijamba sana kwa hofu, tumbo lilijaa gesi vibaya mno

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unatabiri kirahisi hivyo baada ya kushiba chips?

Wenzako wanatabiri baada ya kupata maono halisi ndotoni na kuyachambua maana zake.

Sasa wewe? Umeshiba tu chips unaleta utabiri tambi tambi?

Acha hizo bwana!
Maono ya logo nyekundu na kukatika ikiwa angani, mbona details hata moja haifananii na hii. Ukiondoa neno ndege hapo mengine hakuna kitu walau hata angesema itaanguka kwenye maji. Jamaa labda hakutabiri ajali hii otherwisr hakuna utabiri hapo.
Nina maono kuna ajali itatokea tanzania kwenye barabara ambapo ni ajali ya gari yenye matairi.
 
Maono ya logo nyekundu na kukatika ikiwa angani, mbona details hata mija haifananii na hii. Ukiondoa neno ndege hapo mengine hakuna kitu walau hata angesema itaanguka kwenye maji. Jamaa labda hakutabiri ajali hii otherwisr hakuna utabiri hapo.
Nina maono kuna ajali itatokea tanzania kwenye barabara ambapo ni ajali ya gari yenye matairi.
Tunaangalia DHIMA KUU YA MAONO.

Details ndogo ndogo hazina uzito sana. Na huenda huyu mtabiri alipewa maono yaliyovurugika ili kuepusha taharuki.

Maana watu wangeanza kuzikimbia ndege zote zenye logo nyekundu.

HATIMA HAIKIMBIWI, kila lililopangwa litatokea. KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE.

MWISHO:

Kuwa msikivu. Zingatia kila ujumbe hata kutoka kwa kichaa anayeokota makopo.

Ukiwa mbishi mbishi utakufa tu.

Na naamini kwenye hiyo ajali ya gari utakuwa mmojawapo wa watakaoangamia.

Pumzika kwa amani KAKA NAFAKA.
 
Ziwa Victoria haina Marine Rescue Coordination Centre (MRCC) iliyo active. Maana ndege na meli zinashare distress signal. Endapo meli au ndege ikipata ajali, meli au ndege yoyote inabidi ikaongeze nguvu kuokoa.

Wavuvi washukuriwe sana, hapo zimekosekana meli kubwa kwenda kutoa msaada
 
Tunaangalia DHIMA KUU YA MAONO.

Details ndogo ndogo hazina uzito sana. Na huenda huyu mtabiri alipewa maono yaliyovurugika ili kuepusha taharuki.

Maana watu wangeanza kuzikimbia ndege zote zenye logo nyekundu.

HATIMA HAIKIMBIWI, kila lililopangwa litatokea. KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE.

MWISHO:

Kuwa msikivu. Zingatia kila ujumbe hata kutoka kwa kichaa anayeokota makopo.

Ukiwa mbishi mbishi utakufa tu.

Na naamini kwenye hiyo ajali ya gari utakuwa mmoja wapo wa watakaoangamia.

Pumzika kwa amani KAKA NAFAKA.
Basi kwa imani hii ndio maana mnapigwa na akina masanja na shila
 
Back
Top Bottom