FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Hao unawaonea bure.Jwtz ni jeshi la kizamani sana,hawana mitumbwi ile ya hewa ambayo wangefika nayo hapo,hii ndege ingeanguka kati kati ya ziwa watu wote wangekufa, nchi zilizoendelea huwa tunaona kwenye media jeshi linafika kwa ndege na askari wanashuka kwa parachute ziwani
Kama nchi haitonunua vifaa siku moja itazama ndege kzti kati ya ziwa watu wote wafe
Kazi yao ni kuwalinda wanasiasa mafisadi huku wakiwabutua wananchi mateke.
Mambo kama haya HAWAKUSOMEA.