Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Kwa sasa tunajitahidi kufichaficha Kwanza ili tujue je, kuna Kiongozi au Tajiri yoyote humo na kama hakuna tegemea muda wowote kuanza kupokea Idadi yao na Watokako.
BBC wanasema 26 wameshatolewa salama na zoezi linaendelea.
 
Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....

Yule jamaa ni mchawi
Yule jamaa hatari sana anashangaza kwa kweli au alijua kanda za bukoba kuna ukungu mkali sana kwa wiki sasa nadhani hili ndiyo lilimsaidia katika deep vision yake
 
Hata wakiwa na vifaa waokoaji wanaowekwa wanakuwa wasanii ...rejea ajali ya mtoto aliyezama kwenye dimbwi la maji Mlimani City miaka ya 2007
 
Waroma ni watu wa ajabu sana sasa salamu maria ndy inasaidia nini? Kwani maria nae huokoa watu? Wake up guys acheni kuabudu ujinga
 
Wako busy kununua ma vx mkuu hicho ndy kipaumbele cha maccm,wanakusanyika kwenye uzinduzi wa sensa wanalipwa ma pa DM yaliyonona wananchi wakipata shida kama hizi they don't care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…