BBC wanasema 26 wameshatolewa salama na zoezi linaendelea.Kwa sasa tunajitahidi kufichaficha Kwanza ili tujue je, kuna Kiongozi au Tajiri yoyote humo na kama hakuna tegemea muda wowote kuanza kupokea Idadi yao na Watokako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BBC wanasema 26 wameshatolewa salama na zoezi linaendelea.Kwa sasa tunajitahidi kufichaficha Kwanza ili tujue je, kuna Kiongozi au Tajiri yoyote humo na kama hakuna tegemea muda wowote kuanza kupokea Idadi yao na Watokako.
Yaani wasionekane Ziwani na Mashuhuda waende Kuonekana huko Hospitalini? Hivi hamuoni hata Aibu Kutudanganya hivi tena Mchana kweupe Wapuuzi nyie?Nenda hospitali utawakuta .
We uliona waliokufa, tuletee pichaYaani wasionekane Ziwani na Mashuhuda waende Kuonekana huko Hospitalini? Hivi hamuoni hata Aibu Kutudanganya hivi tena Mchana kweupe Wapuuzi nyie?
Yule jamaa hatari sana anashangaza kwa kweli au alijua kanda za bukoba kuna ukungu mkali sana kwa wiki sasa nadhani hili ndiyo lilimsaidia katika deep vision yakeKuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Nasikia Crane Nne Zimeivuta Kwa Kamba Lakini Zinakatikawasije wakatoboa tu ndege ilizama mazima.
Hata wakiwa na vifaa waokoaji wanaowekwa wanakuwa wasanii ...rejea ajali ya mtoto aliyezama kwenye dimbwi la maji Mlimani City miaka ya 2007Mitumbwi ya mbao ndo inaenda kuokoa , inajulikana wazi , huo uwanja upo karbu na ziwa , ajali kama hzi kikawaida ilitegemewa , mana duniani kote 80 % ya ajali za ndege hutokea during take_off and during landing , sasa wanakosaje facilities za uokozi kwenye maji
Mkuu kumbe wapo hospitali ok sawa ni habari njema,tusubiri wamalizie kuokoa wote.Nenda hospitali utawakuta .
Waroma ni watu wa ajabu sana sasa salamu maria ndy inasaidia nini? Kwani maria nae huokoa watu? Wake up guys acheni kuabudu ujingaAanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Kwahiyo Mitambo ya Simu za Mkononi huwa inashika hata kama Mitambo ya Umeme ya Ndege ikiwa imezama na Ndege iko Majini kwa 95% kama hivyo?Wanatumia simu za kawaida mzee baba, ndege ipo karibu tu na ufukwe wa ziwa...
Kama kashindwa kuona anaizamisha Ndege unadhani yatakuwa mazima Mkuu?Bwana rubani hayo Macho yako vzuri kwel
nasubiria za hospitali ya kagera mkuu sijui network huko hakuna ni muda sasaUkitumiwa sasa hivi naenda Kunya ( Kuukweka ) Makusudi Getini pale MP 1 Makongo Lugalo.
Kwahiyo wewe ulitaka hayo maafa yatokee ili uone kapatia, watu wengine sijui kwanini mnaishi.Ila amechemka kusema watu watakufa wengi na ndege kukatika vipande
Mimi GENTAMYCINE siamini huu Uwongo.BBC wanasema 26 wameshatolewa salama na zoezi linaendelea.
Wako busy kununua ma vx mkuu hicho ndy kipaumbele cha maccm,wanakusanyika kwenye uzinduzi wa sensa wanalipwa ma pa DM yaliyonona wananchi wakipata shida kama hizi they don't careMitumbwi ya mbao ndo inaenda kuokoa , inajulikana wazi , huo uwanja upo karbu na ziwa , ajali kama hzi kikawaida ilitegemewa , mana duniani kote 80 % ya ajali za ndege hutokea during take_off and during landing , sasa wanakosaje facilities za uokozi kwenye maji , na ajari imetokea karbu na uwanja hapo na sio far away ,kweli hii nchi ipo Zama za kijenkitile ngwale,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Hadi hivi sasa, Taarifa ya vifo haijatolewa bado.Vipi kuhus taarifa za vifo au majeruhi[emoji101]??
Anamalizia Kugawa Urithi kwa Mkewe na Wanawe tutamwona baadae akiwa Kapumzika Kimya Mkuu.vipi rubani kapatikan au bado