Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Kwa sasa tunajitahidi kufichaficha Kwanza ili tujue je, kuna Kiongozi au Tajiri yoyote humo na kama hakuna tegemea muda wowote kuanza kupokea Idadi yao na Watokako.
BBC wanasema 26 wameshatolewa salama na zoezi linaendelea.
 
Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....

Yule jamaa ni mchawi
Yule jamaa hatari sana anashangaza kwa kweli au alijua kanda za bukoba kuna ukungu mkali sana kwa wiki sasa nadhani hili ndiyo lilimsaidia katika deep vision yake
 
Mitumbwi ya mbao ndo inaenda kuokoa , inajulikana wazi , huo uwanja upo karbu na ziwa , ajali kama hzi kikawaida ilitegemewa , mana duniani kote 80 % ya ajali za ndege hutokea during take_off and during landing , sasa wanakosaje facilities za uokozi kwenye maji
Hata wakiwa na vifaa waokoaji wanaowekwa wanakuwa wasanii ...rejea ajali ya mtoto aliyezama kwenye dimbwi la maji Mlimani City miaka ya 2007
 
Aanh

Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries

Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano

Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Waroma ni watu wa ajabu sana sasa salamu maria ndy inasaidia nini? Kwani maria nae huokoa watu? Wake up guys acheni kuabudu ujinga
 
Mitumbwi ya mbao ndo inaenda kuokoa , inajulikana wazi , huo uwanja upo karbu na ziwa , ajali kama hzi kikawaida ilitegemewa , mana duniani kote 80 % ya ajali za ndege hutokea during take_off and during landing , sasa wanakosaje facilities za uokozi kwenye maji , na ajari imetokea karbu na uwanja hapo na sio far away ,kweli hii nchi ipo Zama za kijenkitile ngwale,
Wako busy kununua ma vx mkuu hicho ndy kipaumbele cha maccm,wanakusanyika kwenye uzinduzi wa sensa wanalipwa ma pa DM yaliyonona wananchi wakipata shida kama hizi they don't care
 
Back
Top Bottom