Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Halafu wanatumia billioni sita kutangaza matokeo ya sensa!!!
 
Kama kuna vifo basi vinatokana na uzembe katika uokozi, na vifo vitakuwa vimetokana na watu kukosa hewa wakiwa ndani ya Yai majini.

Haraka baada tu ya kuwa majini, ilipaswa ivutwe chap nchi kavu maana inaonekana sio mbali na then kuitoboa au kufungua milango haraka na kutoa watu ikiwa nchi kavu.

Uzembe mkubwa sana wa mamlaka husika kushindwa kuwaza haraka na kufika kwenye eneo husika kwa haraka na vifaa husika kwa haraka kuokoa maisha ya watu.
 
Kuna picha inaonyesha watu wamelala kwenye njia ya kurukia ndege sasa sijui wale ni maiti au wako hai.

Unachanganya na ZOEZI la utayari lililofanyika mwaka jana ambalo wangese fulani wametoa na clip ya mama mmoja akieleza kuhusu hilo zoezi. Wameunganisha na hii ajali kwa sababu zipi nashindwa kuelewa. Hakuna picha za waliookolewa wala majeruhi kuhusiana na ajali zilizotolewa public.
 
Tusitukane mamlaka,sisi walipa kodi ndiyo tujitukane,helkopita za kupeperusha bendera za sensa zipo,za kuokoa maisha yetu,hatuna.
 
Simu za kiganjani labda zinafanya kazi!! Maana mitambo yote humo lazima imezima
 
Pimbi, hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI
Hii ni Ajali- Disaster.. zoezi la Testing.. Full Testing ni nadra kulifanya... huwezi ku involve Passengers... most of ISO zina care Human safety... kuliko kitu chochote.. yale mazoezi ya moto ni tofauti na hii ajali...
 
Wavuvi wenzangu wa Nyamukazi mmehitahidi sana, masaa zaidi ya manne mnapambana, Polisi na vikosi vya usalama hakuna ambaye uniform yake imedondokewa na tone la maji! Helikopta zipo kwa ajili ya kupeperusha mabango ya sensa!

Aibu kubwa sana kwa serikali hii, Waziri wa uchukuzi usipojiuzuru tutakushughulia kwa nguvu ya umma!
 
Hii ni Ajali- Disaster.. zoezi la Testing.. Full Testing ni nadra kulifanya... huwezi ku involve Passengers... most of ISO zina care Human safety... kuliko kitu chochote.. yale mazoezi ya moto ni tofauti na hii ajali...
Wangeweza kufanya
1. Walk through testing...
2. Preparedness testing...
Sio hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…