Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Watu 26 wame okolewaje? , Wamepitia sehemu gani ambapo waliobaki hawawezi kupita?

Hii nchi ni aibu sana , Ina maana hatuna vitu vizito vya kuvuta hii kitu toka asubuhi saa mbili asubuhi? Crane/tinga tinga/ tunge approach kampuni za ujenzi wa Chinese waje watu saidie kuvuta.
 

Au matrekta aina ya Ford.
 
Hatari sana! Sio kwamba analilia brand ya biashara walio i'buld kwa muda alafu inakuja kuharibika kizembe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hapa wanaokoa ndege
 
Not only kukosa hewa huwezi jua pengine kulikuwa na leakages maji yakaanza kujaa kwenye cabin.

Na huo ni wasi easi wangu. Kwa ule ukaribu na nchi kavu, uwezekano Mkubwa kina Cha maji kifupi hivyo itakua ilijikita kwenye udongo/ mchana ukizingatia ziwa Victoria Kuna mawe, sidhani kama ilisalimika.

Isingeingiza maji au kujikuta kwenye mchanga, ingeelea na kuzama taratibu. Hizo Bado ni nadharia tu.
 
Watu washajua ukweli kitambo,ndo maana mmiliki wa precission analia kwakuwa anajua ile passengers list status yake ni D**D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…