Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Shirika gani?Ukiikata kwa juu unakuwa unaichinja ni hasara kwa shirika.
Precision ama Bima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shirika gani?Ukiikata kwa juu unakuwa unaichinja ni hasara kwa shirika.
Sio kweli, huyo mjuaji hajui kituNdiyo mazoezi na abiria ndani?
Kabla ya kuondoka kutoka bk anakiwa tumbua watu , Uongozi wa Mkoa hata Kama vifaa maalum vya uokozi havipo, walishindwa pata hata magereda manne kuivuta ndege nchi kavu mpaka kuwaachia watu kuvuta kweli , Kama yanakosa mikoani hata wangejaribu ivuta KWa scania
Ni jambo jema
BimaShirika gani?
Precision ama Bima?
Chonya wa Chilonwa MeMkuu hahaha!
Hatari sana! Sio kwamba analilia brand ya biashara walio i'buld kwa muda alafu inakuja kuharibika kizembe!We uliwahi kuona basi la abiria limepata ajali halafu mmiliki skawa analia hivyo utadhani waliokufa ajalini ni ndugu zake, ilhali bima ipo ana uhakika wa kupata mtaji wake ?
Hii clip inafikirisha, nyuma ya hili ipo siri nzito ila ndio imeshaanza kufunuliwa tayari , hakuna siri tena, itajulikana tu,
Naona hapa wanaokoa ndegeHapo wanapoivuta wanaokoa ndege au watu?
Labda sielewi mimi ila kwa akili tu ndege hiyo ilikuwa inaonekana bado na ipo kwenye kina kifupi
Swali kwanini hawakufanya jitihada za kukata juu ili waokoe watu?
Ndege inavyutwa utafikiri wanavuta nyangumi
Nasubiri comment za waliookolewa waseme walivyokuwa wanavutwa
Ndio mkuu Sasa unaachia watu wavute wakati wameishakuonyesha ubunifu ,Kuna uzembe mkubwa wa viongozi wa Mkoa umefanyika kwakweliAu matrekta aina ya Ford.
Mbona wana badge za 🇺🇬?
Not only kukosa hewa huwezi jua pengine kulikuwa na leakages maji yakaanza kujaa kwenye cabin.
Watu washajua ukweli kitambo,ndo maana mmiliki wa precission analia kwakuwa anajua ile passengers list status yake ni D**DWatu 26 wame okolewaje? , Wamepitia sehemu gani ambapo waliobaki hawawezi kupita?
Hii nchi ni aibu sana , Ina maana hatuna vitu vizito vya kuvuta hii kitu toka asubuhi saa mbili asubuhi? Crane/tinga tinga/ tunge approach kampuni za ujenzi wa Chinese waje watu saidie kuvuta.
Imagine nae ndege atakakayopanda itumbukie tena kwenye kina kirefu.
Kumbe bado sijalewa!Bima
Wanasema huko hali ya hewa si njema.