Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Hata mikono ya kushika kamba hawana? 😁
Yan hapo ni sawa uone watu wamevaa makoti meupe ukadhania ni madaktari kumbe wafanyakazi wa bucha🤣🤣

Au uone watu wamevaa mabegi huko road ukajia ni wanafunzi wa chuo kumbe mafundi wanabeba vifaa vya kazi kobelo na mwiko🤣🤣🤣

Hiyo kazi Cha kikosi Cha uogeleaji na zimamoto😊
 
Kuna chopper aliyotumia Makalla kukagua mito iliyokauka, kuna chopper aliitumia Bashungwa kukagua zoezi la kijeshi, kuna chopper aliitumia Nape kukagua anwani za makazi, kuna chopper aliitumia Makamba kukagua maendeleo ya bwawa la Nyerere, kuna chopper juzi zilikuwa zinazunguka kutangaza idadi ya wanawake na wanaume mpaka tukajua kwamba Manyara hawana akiba ya kutosha. Leo saa mbili za asubuhi hadi saa mbili za usiku hakuna chopa lililojitokeza.
 
Mkuu, sijui ni macho yangu yananidanganya nimeona kwenye instagram wakazi wa manispaa ya Bukoba walivuta ndege kwa kamba wakiwa na lengo la kuikwamua majini sijui!! Yaani mafundi/mainjina wa mkoa hata ubunifu hawana kabisa au ndio "AKAJALAMUKO" yaani hata kufikiria kwamba waleta four wheel drive heavy duty trucks au tractors zifungwe in tandem watafute chain au kamba ndefu ifungwe kwenye ndege ili ifutwe kirahisi na kwa haraka - madam President wewe ni mwelewa wa mambo hata ya kiufundi ukifafanuliwa vizuri na watu weledi na wabunifu - hivi Mh. Rais inaingia akilini kwamba situation kama hii unaweza kweli ukategemea Manpower (wanavuta kwa kamba -ooh,ooh,vuteni,vuteni!!) kuliko Horse Power (Mashines ie magari/tractor) kuvuta ndege kutoka majini in no time - Watanzania tukoje lakini??
Tuko nje ya nchi, tunatafuta pesa Kwa ajili ya uchaguzi 2025
 
Katika majiji ambayo nilipanga niende ku frahia na familia ni mwanza. Kwa ajali hii hata Watoto wamekata kupanda ndege
Kwani shirika la ndege ni MOJA? au wafikili likitokea katika MOJA ya jiji lingine unatembelea ndani ya tz Basi kutakua na utofauti?
 
Hivi kweli ata wangeleta bulldozer au trekta 2 wakafunga mnyororo waivute ingeshindwa kutoka?!...au ilitakiwa iwe kama ilivyokua!?
Vitu vingine sio kama ufikiriavyo
 
Katika majiji ambayo nilipanga niende ku frahia na familia ni mwanza. Kwa ajali hii hata Watoto wamekata kupanda ndege.


Flaviana matata aliapa kutokula samaki Kwa sabab mamaake alifia ziwani
Binafsi ok imeniuma sana.

Flaviana kama unanisikia hata wanangu wamekuhurumia Sana na naomba kupitia pm tuwasiliane wanataka wakupe pole Kwa mama mpendwa. Na wao wanahistoria kusafiri.
Jamaa I love u
Wewe jinga sana na wanaokuamini akiwemo huyo MATATA!
 
Ee Mwenyez Mungu,okoa watu wako
Daah hii imeniongezea woga wa kupaa.
Kuna siku tulipaa kutoka kia/jro kwenda Dar via Zanzibar, hali ya hewa ilikuwa mbaya sana mvua ikinyesha....daah kulikuwa na mchafuko wa hali ya juu kiasi kwamba huduma za viburudisho ndani ya ndege zilishindikana.
Niliomba maombi yote😆😆
 
Katika majiji ambayo nilipanga niende ku frahia na familia ni mwanza. Kwa ajali hii hata Watoto wamekata kupanda ndege.


Flaviana matata aliapa kutokula samaki Kwa sabab mamaake alifia ziwani
Binafsi ok imeniuma sana.

Flaviana kama unanisikia hata wanangu wamekuhurumia Sana na naomba kupitia pm tuwasiliane wanataka wakupe pole Kwa mama mpendwa. Na wao wanahistoria kusafiri.
Jamaa I love u
Wahaya utawajua tu
 
Back
Top Bottom