Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Katika majiji ambayo nilipanga niende ku frahia na familia ni mwanza. Kwa ajali hii hata Watoto wamekata kupanda ndege.

Flaviana matata aliapa kutokula samaki Kwa sabab mamaake alifia ziwani.

Binafsi ok imeniuma sana.

Flaviana kama unanisikia hata wanangu wamekuhurumia Sana na naomba kupitia pm tuwasiliane wanataka wakupe pole Kwa mama mpendwa. Na wao wanahistoria kusafiri.

Jamaa I love u
Hahaha jus hahahaha[emoji16][emoji16]
 
Ishakuwa bayana sasa kwamba walipita kutokea ule mlango wa dharura unakuwa karibu na mkia wa ndege...

Kama umewahi panda ndege utakuwa umewahi shuhudia huwa kuna mlango wa dharura nyuma mara nyingi ndege ikiwa inakaribia kutua au inapopaa mhudumu hukaa hapo karibu...
So wengine ilikua vipi wasipite pale? au unapitwa KWa viza ? Mpaka inasemekana mapilot wamekufa , acheni zungumzia Mambo mepesi kwenye Mambo muhim, mfano ajali imeisha tokea unaficha Ili iweje, hamjui kuficha kitu ni kurutubisha tatizo,?
 
Katika majiji ambayo nilipanga niende ku frahia na familia ni mwanza. Kwa ajali hii hata Watoto wamekata kupanda ndege.

Flaviana matata aliapa kutokula samaki Kwa sabab mamaake alifia ziwani.

Binafsi ok imeniuma sana.

Flaviana kama unanisikia hata wanangu wamekuhurumia Sana na naomba kupitia pm tuwasiliane wanataka wakupe pole Kwa mama mpendwa. Na wao wanahistoria kusafiri.

Jamaa I love u
Flaviana tafadhali.

Nahitaji pm contact zako
 
We mnduku nimekuuliza wewe hili swali? Na hata kama ningekuuliza huwezi kujibu bila kutukana?

Mav.i kabisa[emoji57][emoji57]
Kama hujui kitu kaa kimya sho.ga wewe, usijifanye mjuaji wakati hujui kitu. Mwanaume mzima unatumia utambulisho wa kike, uko sawa sawa wewe?
 
Mafuta ya reserve huenda alikuwa hana na akajua kurudi MZA hatoboi! Akaona bora aitupe majini tu
Kulingana na maelezo ya rubani mmoja ni kuwa ,sio lengo la rubani kutua majini kutokana na kumshinda ila inaonekana kulikuwa na tatizo la kiufundi lililo ifanya ndege ishuke ghafla!!na ndio maana kumetokea madhara makubwa hivyo!!Kulingana na jiografia ya uwanja wa ndege wa bukoba ,runway yake inaangaliana na ziwa,hivyo kama ingekuwa ni utashi wake,angeweza kupunguza madhara.
Kuhusu mafuta alikuwa nayo ya kutosha tu, kwani alijaribu kutaka kutua mala moja tu,akashindwa akazunguka kidogo,akarudi tena ndio ikatokea hiyo ajar,na ilikuwa iende mza then Dar,na bukoba huwa hakuna huduma ya kujaza mafuta kwenye ndege.NGOJA TUSUBILIE UCHUNGUZI.
mwaka 1997,Ilitokea ajari hapo hapo bukoba ila ile yalikuwa makosa ya pilot,alitua kuanzia katikati ya uwanja badalanya mwanzoni kulingana na urefu wa runway,akaimaliza wakati bado ndege iko spidi,tuta lililokuwa pembezoni mwa ziwa ndio lilikuwa salama yake!!ila pua ya ndege iligusa maji ya ziwa!!!!ikasemekana pilot alikuwa amekunywa kidogo,kwani kabla ya ajari hiyo alitaka kutua kwenye uwanja wa mpira huko sengerema!!!
 
Asante sana Watu8 na nimemsikiliza kwa Utuo na Kugundua hii Ajali imetokana na Uzembe fulani fulani hivi ila Wavuvi ndiyo wamefanya Kazi Kubwa ya Uokoaji na Mamlaka zingine zilizokuja baadae zikiongozwa na Mr. Muongo Muongo wa Taifa zilikuja Kuharibu tu na kutafuta Sifa ambazo hawakustahili.
 
Ajali haina kinga....

Nimevuta kumbukumbu mara kadhaa nimetua uwanja wa Bukoba, Mwanza, Kigoma, Kia, Zanzibar kwa ndege za Precision na ATC na miaka ile Fastjet kwa safari za kikazi na binafsi......

Nimewaza na kuwazua, ni Mungu tuu alinilinda nikasafiri salama.

Safari ya Zanzibar na Precision ilikuwa na uzoefu kama huu...
Kwanza ndege ili delay, tangu saa 12 jioni hadi tukaondoka saa tatu usiku...
Napo tunakaribia kutua ZNZ rubani akasema tunarudi Dar na alipotua Dar alilalama ndege inashida abiria hatutaarifiwi lolote zaidi ya kuambiwa subirini ndege nyingine ambayo haijulikani saa ngapi....

Tulitua ZNZ saa tano usiku....
Tangu siku hiyo ZNZ nilienda na boti.

Kuna hitilafu ya kwenye chombo na kuna kulazimishwa kuendelea na safari bila matengenezo na kuna kuifichia kampuni siri bila kujali afya/maisha /usalama wa abiria...

Wapumzike kwa amani waliofariki.
Pole kwa wafiwa.
Pole kwa majeruhi.

Nimepata kumbukumbu mbaya....
 
Kulingana na maelezo ya rubani mmoja ni kuwa ,sio lengo la rubani kutua majini kutokana na kumshinda ila inaonekana kulikuwa na tatizo la kiufundi lililo ifanya ndege ishuke ghafla!!na ndio maana kumetokea madhara makubwa hivyo!!Kulingana na jiografia ya uwanja wa ndege wa bukoba ,runway yake inaangaliana na ziwa,hivyo kama ingekuwa ni utashi wake,angeweza kupunguza madhara.
Kuhusu mafuta alikuwa nayo ya kutosha tu, kwani alijaribu kutaka kutua mala moja tu,akashindwa akazunguka kidogo,akarudi tena ndio ikatokea hiyo ajar,na ilikuwa iende mza then Dar,na bukoba huwa hakuna huduma ya kujaza mafuta kwenye ndege.NGOJA TUSUBILIE UCHUNGUZI.
mwaka 1997,Ilitokea ajari hapo hapo bukoba ila ile yalikuwa makosa ya pilot,alitua kuanzia katikati ya uwanja badalanya mwanzoni kulingana na urefu wa runway,akaimaliza wakati bado ndege iko spidi,tuta lililokuwa pembezoni mwa ziwa ndio lilikuwa salama yake!!ila pua ya ndege iligusa maji ya ziwa!!!!ikasemekana pilot alikuwa amekunywa kidogo,kwani kabla ya ajari hiyo alitaka kutua kwenye uwanja wa mpira huko sengerema!!!
Hata kwa huyu wa leo nahisi nae Gambe ( Pombe ) itakuwa ilihusika au Siku hizi na hawa Marubani nao wameshaanza Kurogana kama Wanajeshi, Wachezaji wa Mpira Tanzania na Matrafiki.
 
Kuna jina la mtu aliyefariki, ni kama tulisoma wote O-Level, Mungu saidia asijekuwa yeye aisee

Pole sana mkuu kama Hilo jina la huyo mtu ndio huyo mliosoma wote.

Kuna huyu Lin Zhang kaitwa zaidi ya Mara tatu kabla ndege iondoke nikajisemea huyu abiria mchina keshaachwa, nashangaa kuona jina lake hapa kati ya waliofariki. Inamaana alfanikiwa kuiwahi ndege.

Pia kulikua na wadada wawili wamevaa magauni meusi kama kitu kilichoniwazisha huenda wanaenda msibani lakini sikutilia maanani. Kama sikosei na hao mtu na ndugu yake wamefariki pia.
 
Ajali haina kinga....

Nimevuta kumbukumbu mara kadhaa nimetua uwanja wa Bukoba, Mwanza, Kigoma, Kia, Zanzibar kwa ndege za Precision na ATC na miaka ile Fastjet kwa safari za kikazi na binafsi......

Nimewaza na kuwazua, ni Mungu tuu alinilinda nikasafiri salama.

Safari ya Zanzibar na Precision ilikuwa na uzoefu kama huu...
Kwanza ndege ili delay, tangu saa 12 jioni hadi tukaondoka saa tatu usiku...
Napo tunakaribia kutua ZNZ rubani akasema tunarudi Dar na alipotua Dar alilalama ndege inashida abiria hatutaarifiwi lolote zaidi ya kuambiwa subirini ndege nyingine ambayo haijulikani saa ngapi....

Tulitua ZNZ saa tano usiku....
Tangu siku hiyo ZNZ nilienda na boti.

Kuna hitilafu ya kwenye chombo na kuna kulazimishwa kuendelea na safari bila matengenezo na kuna kuifichia kampuni siri bila kujali afya/maisha /usalama wa abiria...

Wapumzike kwa amani waliofariki.
Pole kwa wafiwa.
Pole kwa majeruhi.

Nimepata kumbukumbu mbaya....
Nia yako Kuu ilikuwa ni Kututambia tu kuwa nawe umeshawahi Kupanda Ndege ila tatizo lako sasa hapa umetumia njia ndefu mno na inayotuchosha Kutulazimisha tuamini hivyo.
 
Mkuu wa mkoa ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anahusika moja kwa moja na huu uzembe.

Basi tu hatuna utaratibu wa kuchukuliana hatua lakini angetakiwa kujiuzuru kwa kusababisha yote haya
Unapo mzushia mtu bas toa na jins gani mkuu wa mkoa ameuzika vip katk ajali hyo Hadi kupelekea watu 19 kufariki

Uzembee wake Ni upi at first time
 
Walamba asali wanavyotuchukulia poa sisi Watanzania, usishangae kuambiwa ndege ilipata hitilafu kutokana na kinachoitwa MABADILIKO ya hali ya Nchi.

Maana wanatuona sisi kama majitu fulani tu hivi.
 
mwaka 1997,Ilitokea ajari hapo hapo bukoba ila ile yalikuwa makosa ya pilot,alitua kuanzia katikati ya uwanja badalanya mwanzoni kulingana na urefu wa runway,akaimaliza wakati bado ndege iko spidi,tuta lililokuwa pembezoni mwa ziwa ndio lilikuwa salama yake!!ila pua ya ndege iligusa maji ya ziwa!!!!ikasemekana pilot alikuwa amekunywa kidogo,kwani kabla ya ajari hiyo alitaka kutua kwenye uwanja wa mpira huko sengerema!!!
😄😁😆😅🤣😂
 
Back
Top Bottom