Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Vifaa wanavyo?Sasa hii nchi ilivyo ya ajabu viwanja vya ndege vitaanza kufanya mazoezi ya utayali katika majanga kwa fujo na showoff wikii.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifaa wanavyo?Sasa hii nchi ilivyo ya ajabu viwanja vya ndege vitaanza kufanya mazoezi ya utayali katika majanga kwa fujo na showoff wikii.
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app
Ndege huwa hazipati ajali mara kwa mara lakini huwa ikitokea ajali kupona ni nadra sana.
Na pia tanzania imejaa rushwa jambo ambalo unaweza kuta chombo kina hitilafu ila rushwa ikatumika kikaruhusiwa. Sitaki kucheza maisha yangu kamari
Hii ni habari ya uhakika kabisa,mimi nilikuwa shuhuda,hapo bukoba,na kipindi hicho runway ilikuwa ni changalawe!!hivyo akafananisha uwanja wa mpira na runway,kilikuwa kindege kidogo,kilikuwa kinafanya safari zake BK-MZA.Unaambiwa abiria ndio alimwambia pilot bnana vipi mbona huo ni uwanja wa mpira!!jamaa kushituka ndio akairudisha juu tena,kufika bk ili kutua akaanzia ule upande mwingine wa shule ya msingi BILELE,kuelekea ziwani,kuna mimawe kibao,Runway akaianzia katikati,bnana ndege ilipita pale kwenye banda la wasafiri spidi kama ndio ina take off!!Yaani uwanja wa bk ulikuwa na vituko sana kabla hawajauzungushia fensi,Kuna mwaka mwendesha baiskeli yuko anaendesha baiskeli yake akasikia ndege iko kichwani mwake wakati wa kutua,kwani mwamzon mwa runway kulikuwa kuna barabara kubwa tu ya magari,inaenda sehemu moja maarufu sana bk inaitwa KASHAI.Jamaa alikufa hapo hapo!!ila kuna vifo vingine i vya kipekee,unaona ndege ipo kichwani kwako!!!😄😁😆😅🤣😂
😆😂🤣Hii ni habari ya uhakika kabisa,mimi nilikuwa shuhuda,hapo bukoba,na kipindi hicho runway ilikuwa ni changalawe!!hivyo akafananisha uwanja wa mpira na runway,kilikuwa kindege kidogo,kilikuwa kinafanya safari zake BK-MZA.Unaambiwa abiria ndio alimwambia pilot bnana vipi mbona huo ni uwanja wa mpira!!jamaa kushituka ndio akairudisha juu tena,kufika bk ili kutua akaanzia ule upande mwingine wa shule ya msingi BILELE,kuelekea ziwani,kuna mimawe kibao,Runway akaianzia katikati,bnana ndege ilipita pale kwenye banda la wasafiri spidi kama ndio ina take off!!Yaani uwanja wa bk ulikuwa na vituko sana kabla hawajauzungushia fensi,Kuna mwaka mwendesha baiskeli yuko anaendesha baiskeli yake akasikia ndege iko kichwani mwake wakati wa kutua,kwani mwamzon mwa runway kulikuwa kuna barabara kubwa tu ya magari,inaenda sehemu moja maarufu sana bk inaitwa KASHAI.Jamaa alikufa hapo hapo!!ila kuna vifo vingine i vya kipekee,unaona ndege ipo kichwani kwako!!!
Sijawahi kuona precision ikisoma kwenye radarWe are following reports of an accident in Tanzania. The aircraft was not equipped with ADS-B so we didn't track it. Looks like the aircraft is an ATR42 from Precision Air with registration 5H-PWF.
Flightradar wanadai ATR ya PW haikufungwa Tracker hivyo ilikuwa haionekani
Kenge wewe mtani.Nia yako Kuu ilikuwa ni Kututambia tu kuwa nawe umeshawahi Kupanda Ndege ila tatizo lako sasa hapa umetumia njia ndefu mno na inayotuchosha Kutulazimisha tuamini hivyo.
Kashikiwa mwavuli super black isitoke maana hicho ndicho kipaumbele chake.Yote tisa kuna mtu alikua ameshikiwa mwamvuli asilowe
Kwanini na Kivipi Mkuu?Ila genta unanipa Raha sana
Huyo aliyekuwa hataki Kulowana ( Mr. Muongo Muongo wa Taifa ) japo ni mwana Simba SC Mwenzangu ila tokea atudanganye Watanzania kwa tukio Kubwa la tarehe 17 Machi, 2021 kuwa kaongea na Mgonjwa na ni mzima wa Afya yuko Ofisini anaendelea na Kazi wakati kumbe tayari alikuwa Frijini Kwa Mzena kisha baadae Lugalo simuamini tena na nimeshamdharai mazima.Yote tisa kuna mtu alikua ameshikiwa mwamvuli asilowe
Yote tisa kuna mtu alikua ameshikiwa mwamvuli asilowe
Nimejibizana nao kwa Kuitetea tu Tanzania yangu na Uvutaji Ndege na Kamba ya Katani huku tukiwa tumejipanga Msururu Mamba wakituvizia Kutung'ata mpaka nimechoka hivyo nawaomba nanyi mkanisaidie huko.
Nimejibizana nao kwa Kuitetea tu Tanzania yangu na Uvutaji Ndege na Kamba ya Katani huku tukiwa tumejipanga Msururu Mamba wakituvizia Kutung'ata mpaka nimechoka hivyo nawaomba nanyi mkanisaidie huko.