Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Hata mikono ya kushika kamba hawana? 😁
Yan hapo ni sawa uone watu wamevaa makoti meupe ukadhania ni madaktari kumbe wafanyakazi wa bucha🤣🤣

Au uone watu wamevaa mabegi huko road ukajia ni wanafunzi wa chuo kumbe mafundi wanabeba vifaa vya kazi kobelo na mwiko🤣🤣🤣

Hiyo kazi Cha kikosi Cha uogeleaji na zimamoto😊
 
Kuna chopper aliyotumia Makalla kukagua mito iliyokauka, kuna chopper aliitumia Bashungwa kukagua zoezi la kijeshi, kuna chopper aliitumia Nape kukagua anwani za makazi, kuna chopper aliitumia Makamba kukagua maendeleo ya bwawa la Nyerere, kuna chopper juzi zilikuwa zinazunguka kutangaza idadi ya wanawake na wanaume mpaka tukajua kwamba Manyara hawana akiba ya kutosha. Leo saa mbili za asubuhi hadi saa mbili za usiku hakuna chopa lililojitokeza.
 
Tuko nje ya nchi, tunatafuta pesa Kwa ajili ya uchaguzi 2025
 
Katika majiji ambayo nilipanga niende ku frahia na familia ni mwanza. Kwa ajali hii hata Watoto wamekata kupanda ndege
Kwani shirika la ndege ni MOJA? au wafikili likitokea katika MOJA ya jiji lingine unatembelea ndani ya tz Basi kutakua na utofauti?
 
Hivi kweli ata wangeleta bulldozer au trekta 2 wakafunga mnyororo waivute ingeshindwa kutoka?!...au ilitakiwa iwe kama ilivyokua!?
Vitu vingine sio kama ufikiriavyo
 
Wewe jinga sana na wanaokuamini akiwemo huyo MATATA!
 
Ee Mwenyez Mungu,okoa watu wako
Daah hii imeniongezea woga wa kupaa.
Kuna siku tulipaa kutoka kia/jro kwenda Dar via Zanzibar, hali ya hewa ilikuwa mbaya sana mvua ikinyesha....daah kulikuwa na mchafuko wa hali ya juu kiasi kwamba huduma za viburudisho ndani ya ndege zilishindikana.
Niliomba maombi yote😆😆
 
Wahaya utawajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…