Ndege kutua kwa dharura ambako haitakiwi kutua ni nini mjuba?
Kuanguka ni kusababisha
madhara na hata vifo. Ile ya Arusha (December 2013) haikuwa crash-landing, bali emergence landing. It means ndege haikuwa na hitilafu yoyote, isipokuwa uwanja ndio ulikuwa mfupi, ambapo ikasababisha Ethiopian Airline Boeing 767 ku-overshoot kwenye njiampao (runway), landing dears zikang'ata matope.
Kutua kwa dharura maana yake ni
kushuka kwa usalama licha ya hitilafu husika au tatizo la kimazingira kama vile hali mbaya ya hewa ama tishio la Al-Qaida
🙂 ama kuishiwa mafuta, etc. Implication ni kwamba rubani alikuwa na udhibiti mkubwa wa chombo hadi touch point, then landing.
Crash-landing ni aina yaemergence landing ambapo lote laweza kutegemewa (hatari ama usalama). Kwa mfano, ikithibitika kwamba rubani wa Precision Air alimua kui-land ndege hiyo last Sunday, baada ya kutambua uwezekano wa hatari, basi hiyo inaitwa emergence crash-landing.
Lakini kama ilimshinda kabisa, ikaporomoka kutoka angani bila juhudi wala udhibiti wake, siyo tena crash-landing, bali ni simply CRASH.
NB: Hata kama ndege imelipuka na kuwateketeza abiria wote (Mola aepushie mbali), bado itaitwa emergence crash-landing iwepo rubani alikuwa na udhibiti nayo, ila at touch-point ikawa hivyo tena.