big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 399
- 1,076
Tujifunze kwa makosa. Nidhahiri controal touwer walikuwa wanajua kilicho msibu rubani, na hatua alizo chukua kujaribu kukabiliana na hiyo hali,. Cha ajabu nikuwa uwanja wandege na vikosi vingine walichelewa kufika kwenye eneo la tukio.
Wakati Rubani alikuwa ana muda anajaribu kutafuta namna ya kutua salama.
Yawezekana pengine ni kutokana na miundo mbinu ya uokoaji, nina amini kila kiwanja cha ndege kilicho karibu na ziwa au bahari kinatakiwa kuwa na kambi malumu ya askari wana maji ambao wamepitia mafunzo ya kukabiliana na ajari kama hizo. Pale Airpot Mwanza , Bukoba sijaona kitengo kama hicho,
Zimamoto wapo lakini Marine wanapaswa kuwepo pia,.
Sikumoja nili shuhudia Rubani wa ndege ya mizigo alinusuru maisha yake na wafanyakazi wenzake hapa Mwanza,,
Baada yakutua ziwa victoria karibu kabisa na uwanja wandege,, na kilicho saidia ndege ilisogea kwenye kina cha maji mafupi hivyo walitoka salama.
Ifahamike kuwa ziko njia ambazo Marubani hutumia kujiokoa baadhi ya njia hizo ni kutua kwenye Miti mirefu au kwenye maji Baharini au Ziwani . [emoji24][emoji24][emoji24]
Itoshe kusema ,, Tume poteza waTanzania wenzetu lakini kwa tukio hili tujifunze na tujipange kwa tahadhari. Nitafurahi kuona Sarikari kama ita weka vikosi hivyo kwenye maeneo hayo huku kukiwa na boat za uokoaji.